The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Achana na hadithi za kijinga, miradi gani imegharamiwa na pesa za ndani?Napenda jibu lako, kuwa ukishakuwa maskini na omba omba utababaishwa tu. Hii ndiyo maana Trump ambaye kwao hasheshimiki na haamini kuhusu demokrasia/uchaguzi huru anataka kuifundisha TZ eti kwa sababu ni maskini. Inabidi TZ kwa makusudi tusikubali kuyumbishwa eti kwa vile tunaonyeshwa kikaroti.....
Marekani sio Tanzania kuwa mtu akiacha kazi anaondoka na mafaili yake na kitasa cha mlango wa ofisi alichonunua.Pompeo amebakisha dakika chache tu aende kulima
Hizo restrictions sijui hata wanamuwekea Nani,wanadhani US ni sehemu ya hijja?
Wewe jiulize wewe Una athirika na kitu gani akati raisi wao anaapishwa na wanajeshi elfu 15............hapo Nani kapata aibu au Nani mataga kama sio wewe sokwe demuHizi ndizo akili za Mataga
Halafu eti na wewe unasubiri uteuzi [emoji23]
Kwanza kuna corona hatuendiVikwazo gani vitakavyowaadhiri? Vyakutokwenda Marekani au hospital kutibiwa?
Sio mfumo ni "taasisi".taasisi za wenzetu haziyumbi sana kwa kubadili kiongozi.Unajua maana ya mfumo wee jamaa? Bora hawa
Uongozi wa US ni wa kitasisi. Haya siyo maamuzi ya Pompeo bali ni ya Serikali. Kuyabadilisha kuna taratibu za kupitiaHuyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Kaangalie chat ya UNCHR.wakimbizi wengi upelekwa USA na canada.Marekani hahudumii sana wakimbizi ungesema Scandinavian countries ningekuelewa!
Uchaguzi gani uliovurugwa? Hivi wewe na akili yako uliona lile tobo sijui tundu ni la kuchukua nchi? Kabisaa?Sema kijana wa Tanzania. Halafu lijamaa God Mushi litakua either halijielewi au ni kada la CCM maana sote tumeshuhudia uchaguzi ulivyo vurugwa na ccm
Walio civilized na educated matured uongozi hauwasumbuiNi vema mataifa yote wapenda demokrasia, haki na uhuru wa watu, wachukua hatua kama hizi au zinazofanana na hizo...
Jamaa hujiewi wewe....yanMjinga wewe na ukoo wako wote! Una akili ya kitumwa hamia kwa hao mabwana zako. Hawatufanyi chochote hao mabwana zako.
Mkuu usikute kwenu unaitwa ndo kichwa Cha familia😂😂😂...asa USA ndo imeifu ingia account ya Twitter ya Trump..,???Nimejua baada ya acc ya Trump ambayo anayotumia,kwani kwakufanya hivyo ni sawa umeminya UHURU WA KUJIELEZA na kwa kuminya uhuru huo manake,immeenda kinyume na KATIBA .
Au Kwani acc ya Trump imefungwa au haijafungwa?
Wewe kama unamjua niambie ni nani ambaye yupo juu ya KATIBA
Hivi Mtu akiwekewa vikwazo kama hivi anabanwa maeneo gani haswa, yaani anaumiaje maana lengo hapa ni kutoa adhabu.
Comrade Mushi mwana Ccm huyo.Sema kijana wa Tanzania. Halafu lijamaa God Mushi litakua either halijielewi au ni kada la CCM maana sote tumeshuhudia uchaguzi ulivyo vurugwa na ccm
Wewe ambaye hujawahi kwenda hata Kenya huwezi kuona madhara yake, lkn kwa wanaotegemea kufanya biashara nje, kusomesha watoto wao nje, kutibiwa nje, walio na marafiki nje athari ni kubwa.Katika hao kuna atakaeathirika na kukosa ugali mezani kwake sababu kazuiwa kwenda USA kweli?