Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Secretary Pompeo must be joined with Trumph to face charge of inciting supporters storm Capitol DC and couse death to innocent people.
Pompeo get ready for that don't bother with Tanzania, your hands are not clean to point Tanzania's general election.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuuuzi, mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump....
Alitakiwa kuwaweka house arrest wale democrat ambao rais wake Trump wamemuibia kura na kumnyang'anya urais!!! Marekani mbona inajigeuza kituko hivi!? Wapi tutapigia mfano nchi iliyostaarabika huko bara Amerika!?
 
Hapo hakosi Jaji Temy Kaijage, Mkurugenzi Mahera, IGP Sirro, CDF Mabeyo, DG TISS Diwani, Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kutaja wachache Tu.
 
Lugha gani hiyo? Pameandikwa nini?
Naona tu picha na jina Donald J Trump, nitafsirie hayo maneno mengine.
Sijui ninachojua mimi not accessible.

Nataka kujua nani yupo juu ya KATIBA.
 
there are consequences for inciting supporters storm Capitol DC and cause death...... and damages
 
Alitakiwa kuwaweka house arrest wale democrat ambao rais wake Trump wamemuibia kura na kumnyang'anya urais!!! Marekani mbona inajigeuza kituko hivi!? Wapi tutapigia mfano nchi iliyostaarabika huko bara Amerika!?
Wewe unahemuka tu.
 
IMO they need to do more. This is not sufficient enough. The whole illegal cabinet and members of parliament from ccm should be included in this. Also economic sanctions similar to those of Zimbabwe should be put in place ASAP.

Your wish will never be granted. Lazima kichwani una tatizo. Mimi nahusika vip na uchaguzi niathirike kwa vikwazo? Wana siasa mna riho mbaya sana sababu ya kufikiria njaa zenu tu. Zimbabwe ihamie kwanza nyumbani kwako ndio ujue maana ya unachokisema
 
Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Trump hayupo juu ya sheria ndoo maana kashindwa kuiba kura.Kule sheria ni msumeno
 
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grownto suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Demokrasia ya wapi hiyo duniani ambapo karatasi za wagombea zinazagaa , mtaani siku moja kabla ya siku ya kupiga kura?huku zimeshatikiwa kwenye majina ya wagombea?hata hapa kwetu tu toka uhuru haijawahi tokea?!!vitu vingine vya kipuuzi acheni kushabikia!!kama ni hivyo basi anza kuishi bila misaada yao!!
 
Pompeo kama Pompeo kakoroma yaani
Hata aibu hauoni! Sisi hii tunaita last kick of 'dying animal'!!
Wewe unahemuka tu.
"US baby group" naona kiswahili mfukoni! !!! Kwishiney habari yenu. Ha ha ha ha aa!!!Nisikie tena kelele zenu za haki ya kujieleza na demokrasia wakati walezi wenu wa hiyo liberty hawawezi kufanya hayo waagizayo yafanywe na nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom