Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Nani wamemuibia kura Trump?
Na sisi sijui tuwawekee vikwazo walomuibia kura Trump,ila tuache tu maana nyani haoni kundule kwa sababu kundule lipo upande ambao kisogo kipo.
Huyu jamaa kama kuna kitu alivutishwa akiwa mtoto,kha,
 
Ya kwao yanawashinda wanadandia ya Tanzania, kwanini wenyewe hawaiheshimu democracy na Boss wake alihamasisha watu wavamie bunge na kusababisha watu kupoteza maisha.
 
Kwani amezuiwa kujieleza? Mbona vyombo vya habari viko naye kila mahali anapoenda!...
Yeye anatumia Twitter kama platform yake ya kujieleza sasa kwanini umfungie?

Husimchangulie mtu ajielezee sehemu gani,mwache aongee sehemu yoyote anayo jisikia yupo comfortable,NDIO UHURU WENYEWE HUO WANAO UHUBIRI.
 
Unajua maana ya vingi? Vingi vinaanzia vingapi?
Zipo za aina nyingi sana, mfano kuna demokrasia ya vyama Vingi na demokrasia ya vyama viwili kama Ilivyo kwao, vipi sisi leo tukianza kuwalazimisha wawe na utitiri wa vyama vya siasa kama sisi?
 
Nani amemfungia?
Yeye anatumia Twitter kama platform yake ya kujieleza sasa kwanini umfungie?

Husimchangulie mtu ajielezee sehemu gani,mwache aongee sehemu yoyote anayo jisikia yupo comfortable,NDIO UHURU WENYEWE HUO WANAO UHUBIRI.
 
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."....
Aliyevuruga ni Tundu Lissu mpaka akafungiwa kwa week moja campaign zake.
 
Kwa madudu waliyofanya kina Trump, hii kitu hakuna atakayehangaika naypo. Kesi zinazokuja Marekani zitawasumbua sana wenyewe kuliko kina sisi
 
Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi,wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Sasa kwani ni serikai ya Trump iliyomfungia Trump account yake ya twitter? 😁
 
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."....
Kuna jambo kubwa litaikumba Marekani.Haya Pompeo ameyaongea akijua what will happen to America.Watch this👇.

Kumzuia mtu kwenda Marekani nayo ni adhabu?
 
Vikwazo gani vitakavyowaadhiri? Vyakutokwenda Marekani au hospital kutibiwa?
Mkuu wakimpiga pini kabudi na Mpango hata wewe utaadhirika maana hao ndo watembeza bakuri kule IMF na WB.please note,flyover ya ubungo na barabara za mwendo kasi jijini Dar es salaam ni pesa ya WB
 
Hili Jasusi labda linamaanisha Uganda na sio Tanzania. Harafu hizi drama za dakika za mwishoni uongozi mpya huwa una tendency za kufuta

6E7C0594-8F6A-40A1-A199-38574420DF1B.jpeg
 
Mbona wao pia wana vyama zaidi ya viwili!
Zipo za aina nyingi sana, mfano kuna demokrasia ya vyama Vingi na demokrasia ya vyama viwili kama Ilivyo kwao, vipi sisi leo tukianza kuwalazimisha wawe na utitiri wa vyama vya siasa kama sisi?
 
Back
Top Bottom