Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grownto suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Mbona kila siku mnaenda kusoma kwao
 
..nadhani Jpm alikuwa anatuma ujumbe kwa Wamarekani kupitia balozi wa Uingereza.

..nashauri serikali ya ccm nayo iwawekee vikwazo maafisa toka serikali ya Marekani.

..Mwalimu Nyerere aliwahi kumtimua balozi wa Marekani nchini.

..Kama kweli serikali ya ccm haiyumbishwi basi ichukue maamuzi magumu sasa.
 
Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Sio suala la yeye kasema nini na kwamba akiondoka ofisini jambo hilo linakufa. Marekani ni ofisi inayotekeleza Sera zao.
Manyang'au yaliyo haribu uchaguzi yasubiri moto huo. Hili linaathiri na familia zao, washirika wao wa kibiashara kama wanafanya na hata pesa zao zilizoko huko.
Hongera sana Mzee Pompeo kwa "uzalendo" wako kwa Tanzania yetu, hakika vikwazo tuu havitoshi labda mngetumia ile mbinu kama mliyofanya kwa Noriega kule Panama!
 
Kwahiyo huyo Pompeo kimemuuuma Uingereza kupewa Mgodi wa Nikel au. Aache Wivu wa kike Uchaguzi umeisha maisha yanaendelea aache kutuvuruga.
Hata sisi hapa tupo tumejiuliza ila kuna mwenzangu hapa akanionesha hii.

The US embassy in Dar es Salaam said that "irregularities and the overwhelming margins of victory raise serious doubts about the credibility of the results... as well as concerns about the government of Tanzania's commitment to democratic values".

Ingawa hata mimi nilijiuliza hivi hata Halima Mdee akashindwa kizembe vile?....hata Lisu nilijua hawezi kushinda ila sio kupata 13%.
 
Tatizo la hawa wakubwa sio wao , watakaoumia ni WATOTO wao ....wengi wana watoto na ndugu wanaoishi ..huko , na marekani hapao ndio huwa wankomoa , washirika wao wa kibishara etc
Ahaaa... Yani mtoto wa Mahera apate tabu kisa baba kazuiwa kwenda USA?

Kwani hapa nyumbani maisha hakuna?

Hivi kwanza katika wale viongozi wa juu wa NEC kuna mwenye shida kwenda USA? kufanya nini?

Eti wasije USA, ni mbinguni kule?
 
Nani wameifungia account ya Twitter ya Trump ?
Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi,wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
 
Sio suala la yeye kasema nini na kwamba akiondoka ofisini jambo hilo linakufa. Marekani ni ofisi inayotekeleza Sera zao.
Manyang'au yaliyo haribu uchaguzi yasubiri moto huo. Hili linaathiri na familia zao, washirika wao wa kibiashara kama wanafanya na hata pesa zao zilizoko huko.
Hongera sana Mzee Pompeo kwa "uzalendo" wako kwa Tanzania yetu, hakika vikwazo tuu havitoshi labda mngetumia ile mbinu kama mliyofanya kwa Noriega kule Panama!
Kwa hiyo unafikiri Mahera atakosa ugali mezani kwake kwa kuzuiwa kwenda Marekani?

I mean Mahera sasa atarudi kijijini kulima sababu USA imesema asiende kwao?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni utani jamani.
 
Wangeweka wazi majina yao ili tuwajue. Ila jina la Mahera Wilson Charles lazima litakuwepo kwenye hiyo list. Yoweri Museveni ajiandae.
 
Hao wanaokuja ni wanazi zaidi wa demokrasia na kuingilia mataifa mengine kuliko hawa wanaoondoka.
Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
 
Huwa ni pamoja na familia yake huwa ni totally ban kuviondoa huwa sio rahisi, means USA wataiona kwenye youtube Kama bashite.Bashite hawezi ondolewa vikwazo eti kwa sababu ni raia ambae hawezi muamrisha mambo sasa au kutumia wanajeshi kuvamia cloud,vile ni vyake milele.
Kwahiyo bashite sasa kwa vile haendi USA basi maisha kwake ni magumu anakosa hadi ugali eti eee?

Jamani USA iko hapahapa tz ukiwa na hela utainjoi maisha hapahapa nyumbani tz.

Huko usa sio mbinguni
 
Nani wameifungia account ya Twitter ya Trump ?
Tatizo si nani, serikali ndio ipo juu ya kila kitu na wanaamini katika uhuru wa kujieleza na ipo ktk katiba yao, kama akitokea mtu yoyote au taasisi yoyote, ikitaka kuminya uhuru wa mtu wa kujieleza,kama serikali lazima mchukue hatua, sababu US wao wanaamini katik uhuru wa kujieleza, lkn kwa Trump mbona wapo kimya.

Kwa hiki walichomfanyia trump manake wameichezea katiba, kwa kuminya uhuru wa kujieleza.
 
Hizi ishu ni complicating.

Baada ya uchaguzi mabalozi wao waliitikiwa wito wa Rais aliyetangazwa na tume. Humu zikaja nyuzi za kusema kama hadi mabalozi wao wamehudhuria hii inamaanisha hakuna tena la ziada na uchaguzi ushapita.

Leo vinakuja vikwazo.

Naamini tatizo hapa ni hakuna dili iliyofikiwa, kama serikali ikistrike better deal basi hivi vikwazo vinafutwa.

Mostly hua ni resources.
 
78744100.jpg

Bwana Mahera mida hii!😁😁😁
 
Hivyo vikwazo na visiache wake zao, watoto wao, ndugu zao na wote wenye vinasaba na msababishi wapigwe total ban kuingia USA na Europe. Maana wakicheza na nyani wao ndio uingia gharama kubwa Sana za kuhudumia wakimbizi usababishwao na watu wachache waliokosa malezi Bora utotoni.
For sure. Hizi bans zinahusisha watoto wao na wake zao pia. Na kama kuna walioko USA teari, wanapewa deportation notice. European Union always inafuatana na USA, naamini itakuwa hivyo for the most part.
 
Back
Top Bottom