Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

20210119_194808.jpg
 
Amesahau na wa kwao kuwaeeke vikwazo maana mkuu wake si alosema uchaguzi ulikuwa na udanganyifu mkubwa hasa kura za posta.
 
Hawa ni watu wa maslahi, as long as hakuna Mwamerika aliyepata kashkash, hamna kitu hapo!!
 
Mahera arudi usukumani na likiswahili lake libovu
Umefurahi mwenyewe?

Nikajua amekatazwa kukanyaga Tanzania Nzima.. Kumbe ni Marekani?

Haina hata haja ya kuwasikiliza hao mbweha tu. Hii COVID imetoa fundisho kabisa kwamba unaweza kuishi duniani bila Marekani.
 
Back
Top Bottom