Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Wakati serikali ya Tanzania ilishapiga marufuku ya kusafiri taangu mwaka 2015 Serikali ya marekani kupitia kwa waziri wa mambo ya nje ndugu Pompeo wamewazuia waliojaribu kuvuruga uchaguzi wa October 2020


Pompeo ame tweet ::

There are consequences for interfering in the democratic process. Starting today, we are imposing visa restrictions on those involved in election interference in Tanzania. We remain committed to working together to advance democracy and mutual prosperity for both our countries.
 
Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi,wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Unadhani hapa Tanzania Inawezekana kwa rais aliyeko madarakani kufanyiwa kama Trump?Hiyo ni demokrasia kubwa mno.
 
Unadhani hapa Tanzania Inawezekana kwa rais aliyeko madarakani kufanyiwa kama Trump?Hiyo ni demokrasia kubwa mno.
Tatizo sio ya aliyekuwepo TATIZO NI KUMINYA UHURU WA KUJIELEZA WA MTU,ambao kila siku wana uhubiri.
 
Ni upumbavu wa kufungia mwaka Kwa utawala mbovu wa Rais mbovu tangu nchi yenye Uchumi mkubwa kuwako Duniani
 
Mmi nalichukia lisisiemu na vyote vilivyomo ila marekani imepoteza moral authority kulizungumzia hili hususani kwa huu mwaka
 
Huyu mzee mbona simwelewi, hebu wafungue Twitter za Trump. Nchi yao haina uhuru wa kujieleza
 
🤣🤣🤣
11076907339.jpg
 
Upuuuuzi.......mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi,wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.

Hicho kibano kwa Tanzania kinafanywa na serikali ya huyo huyo Trump!!! The Americans have no moral authority to preach about democracy in the world when we have witnessed massive voter suppression in their just concluded elections!!

Hawa wamarekani wanaposema uchaguzi wao Biden hakushinda kihalali, maana yao ni kwamba kwa kuwa wamarekani wasio weupe [ weusi na Latinos] wengi walijitokeza kupiga kura na wagombea wao kushinda hivyo uchaguzi haukuwa halali!!! Weusi na Latinos wameungana kupiga vita mbinu zao za voter suppression na sasa wanaona power inawaponyoka na ndio maana unasikia hizo vurugu za WHITE SUPREMACISTS!!! Hawa weupe wanasahau kuwa marekani ni nchi ya wakuja [ immigrants] na hata wao ni wa kuja pia!!! Wenye asili ya nchi hiyo wamewekwa kwenye RESERVES!!!!!
 

‘’This isn’t your Republican party anymore, this is Trump’s Republican party.​

 
Back
Top Bottom