Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uhuru wa kujieleza wa mtu aliye madarakani umeminywa na nani?
Tatizo si NANI, SERIKALI NDIO IPO JUU YA KILA KITU NA WANAAMINI KATIKA UHURU WA KUJIELEZA na IPO KTK KATIBA YAO,kama akitokea mtu yoyote au taasisi yoyote ,ikitaka kuminya UHURU WA MTU WA KUJIELEZA,KAMA SERIKALI LAZIMA MCHUKUE HATUA,sababu US wao wanaamini katik uhuru wa kujieleza,lkn kwa Trump mbona wapo kimya.

KWA HIKI WALICHOMFANYIA TRUMP MANAKE WAMEICHEZEA KATIBA,KWA KUMINYA UHURU WA KUJIELEZA.

Hamna mtu ambaye yupo juu ya KATIBA,HATA AWE NANI.
 
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza demokrasia na ustawi wa pande zote kwa nchi zetu zote mbili."

View attachment 1681412

Soma pia: Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights - United States Department of State
______________________________________

Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo vya vya kuingia nchini humo maafisa wa Tanzania ambao nchi hiyo inawatuhumu kwa kile wanachokitaja kuwa kuharibu uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka 2020.

Maofisa hao wanatajwa kuhusika kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuminya utekelezaji wa demokrasia.

Hata hivyo taarifa hiyo ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani haijabainisha ni viongozi gani hasa kutoka Tanzania waliowekewa vikwazo vya kuingia Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo, Waangalizi wa uchaguzi na mashirika ya kiraia wanadai kuwepo kwa udanganyifu katika uchaguzi huo pamoja na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi.

Marekani inasema kuzimwa ama kuzimika kwa mitandao, kuminywa kwa waandishi wa habari na nguvu kubwa iliyotumiwa na jeshi la Polisi kunafanya uchaguzi huo kutokua huru na wa haki.

Katika uchaguzi huo, baadhi ya wagombea kutoka vyama vya upinzani walienguliwa kwa sababu mbalimbali na wengine kukamatwa.

Tume ya uchaguzi nchini humo na hata Serikali kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Palamagamba Kabudi ilieleza kwamba uchaguzi ulikua huru na wa haki.

Marekani inasema pamoja na hatua hii iliyochukua dhidi ya maafisa wa Tanzania, inaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo ya hoja hiyo, huku ikisema haitasita kuchukua hatua zaidi dhidi ya wale wanaominya demokrasia na kuvunja haki za binadamu.

''Tunaitaka Tanzania, kuwachukulia hatua wale wote waliohusika kuvuruga uchaguzi, kufanya vurugu na kuleta vitisho'' ilisema sehemu ya taarifa hiyo.

Juhudi za kumpata msemaji wa serikali ya Tanzania kuzungumzia suala hilo mpaka sasa hazijazaa matunda, na tutaendelea kuwatafuta kwa ajili ya kuzungumzia suala hilo

Haya ni moja ya maamuzi ya mwisho ya utawala wa rais Donald Trump ambaye amebakiza saa chache kuachia mamlaka ya urais. Mpaka sasa haijafahamika iwapo utawala wa rais mpya Joe Biden kama utatekeleza maamuzi hayo. Tayari ofisi ya Biden imetangaza kuwa itatengua sera kadhaa za Trump mara tu baada ya kuingia ofisini kesho.

BBC.
HAWA NAO SIWASEME TUUU JUUU YA UJIO NAMBA 666, KAMA UFUNUO WA YOHANA UNAVYOSEMA?? ASOMAYE NA AFAHAMU. TULIOOKOKA TUKAE TAYARI, YALIYONENWA NA VINYWA VYA MANABII YANAENDA KUTIMIA. UNYAKUO WAWATAKATIFU NI SAA YOYOTE KUANZIA SASA. MWENYE DHAMBI JITAKASE HARAKA SAANA YESU YUAJA TENA KUCHUKUA WATAKATIFU.
 
What is voter suppression?
Hicho kibano kwa Tanzania kinafanywa na serikali ya huyo huyo Trump!!! The Americans have no moral authority to preach about democracy in the world when we have witnessed massive voter suppression in their just concluded elections!!

Hawa wamarekani wanaposema uchaguzi wao Biden hakushinda kihalali, maana yao ni kwamba kwa kuwa wamarekani wasio weupe [ weusi na Latinos] wengi walijitokeza kupiga kura na wagombea wao kushinda hivyo uchaguzi haukuwa halali!!! Weusi na Latinos wameungana kupiga vita mbinu zao za voter suppression na sasa wanaona power inawaponyoka na ndio maana unasikia hizo vurugu za WHITE SUPREMACISTS!!! Hawa weupe wanasahau kuwa marekani ni nchini ya wakuja [ immigrants] na hata wao ni wa kuja pia!!! Wenye asili ya nchi hiyo wamewekwa kwenye RESERVES!!!!!
 
Ahaaa... Yani mtoto wa Mahera apate tabu kisa baba kazuiwa kwenda USA?

Kwani hapa nyumbani maisha hakuna?

Hivi kwanza katika wale viongozi wa juu wa NEC kuna mwenye shida kwenda USA? kufanya nini?

Eti wasije USA, ni mbinguni kule?
Sidhani kama hao Marekani hawafikirii hicho unachofikiria, hapa ni swala la ishara zaidi kuliko hata adhabu yenyewe...labda wangeweza kufanya hatua nyingine ikawa inawaumiza hata wasiohusika.

Ni kama Mtu mzima mnayeheshimiana anapokwambia kwa mfano "tumia akili Ndugu"....ni maneno tu ambayo hata hayatokukaba shingo na kukunyima pumzi....lakini yatatosha kukupa ishara fulani.

Ni kama inavyotokea tu hapa kwetu wakati Mtu fulani kakataa kupokea mkono wa Fulani walipokutana kwenye shughuli (refer Maalim, Shein), kwani ni nini kinazua gumzo pale, kwani kutopokea huo mkono kutampunguzia nini huyo mtoa mkono?.
 
Nani wamemfanyia nini Trump ?
Tatizo si nani, SERIKALI NDIO IPO JUU YA KILA KITU NA WANAAMINI KATIKA UHURU WA KUJIELEZA na IPO KTK KATIBA YAO,kama akitokea mtu yoyote au taasisi yoyote ,ikitaka kuminya UHURU WA MTU WA KUJIELEZA,KAMA SERIKALI LAZIMA MCHUKUE HATUA,sababu US wao wanaamini katik uhuru wa kujieleza,lkn kwa Trump mbona wapo kimya.

KWA HIKI WALICHOMFANYIA TRUMP MANAKE WAMEICHEZEA KATIBA,KWA KUMINYA UHURU WA KUJIELEZA.
 
Wamarekani wao hawaamini serikali yao ipo juu ya kila kitu ndio maana kila siku wanaifungulia kesi na kuishinda

Ulitaka serikali ya Marekani imsaidiaje Trump?

Nani katika serikali ya Marekani anatakiwa ahakikishe uhuru wa kujieleza wa wananchi wote (pamoja na wa Rais) hauminyiwi?
Tatizo si nani, SERIKALI NDIO IPO JUU YA KILA KITU NA WANAAMINI KATIKA UHURU WA KUJIELEZA na IPO KTK KATIBA YAO,kama akitokea mtu yoyote au taasisi yoyote ,ikitaka kuminya UHURU WA MTU WA KUJIELEZA,KAMA SERIKALI LAZIMA MCHUKUE HATUA,sababu US wao wanaamini katik uhuru wa kujieleza,lkn kwa Trump mbona wapo kimya.

KWA HIKI WALICHOMFANYIA TRUMP MANAKE WAMEICHEZEA KATIBA,KWA KUMINYA UHURU WA KUJIELEZA.
 
Kuna demokrasia za aina ngapi😂😂 tunakuwa vichekesho
Zipo za aina nyingi sana, mfano kuna demokrasia ya vyama Vingi na demokrasia ya vyama viwili kama Ilivyo kwao, vipi sisi leo tukianza kuwalazimisha wawe na utitiri wa vyama vya siasa kama sisi?
 
Wamarekani wao hawaamini serikali yao ipo juu ya kila kitu ndio maana kila siku wanaifungulia kesi na kuishinda

Ulitaka serikali ya Marekani imsaidiaje Trump?

Nani katika serikali ya Marekani anatakiwa ahakikishe uhuru wa kujieleza wa wananchi wote (pamoja na wa Rais) hauminyiwi?
KATIBA YA US IMECHEZEWA AU HIJACHEZEWA?

Manake hamna aliye mkubwa zaidi ya KATIBA.
 
Sidhani kama hao Marekani hawafikirii hicho unachofikiria, hapa ni swala la ishara zaidi kuliko hata adhabu yenyewe...labda wangeweza kufanya hatua nyingine ikawa inawaumiza hata wasiohusika....
[emoji23][emoji23][emoji23]Basi tuendelee kutafuta ugali hayo mengine tuwaachie wao wenyewe waonyane
 
Today the US kept its promise to hold to account individuals who interfered with Tanzania’s elections last October. Secpompeo has imposed visa restrictions on those responsible for, or complicit in, undermining the democratic process in Tanzania.

Individuals who undermined Tanzania’s democratic process are not welcome in the United States. Secpompeo has imposed visa restrictions to hold accountable those responsible for Tanzania’s flawed October 28, 2020 general elections. Visa Restrictions on Tanzanians for Undermining the Democratic Process and Human Rights - United States Department of State

........................

Today, the United States is announcing visa restrictions on Tanzanian officials responsible for or complicit in undermining Tanzania’s October 28, 2020, general elections. The actions of these officials subverted the electoral process, continuing the downward trajectory of the country’s democracy. Election observers and civil society noted widespread irregularities as well as human rights abuses and violations before, during, and after the election. Opposition candidates were routinely disqualified, harassed, and arrested. Significant and widespread voting irregularities, internet disruptions, intimidation of journalists, and violence by security forces made this election neither free nor fair. Civil society leaders remain under threat in the post-election period, and opposition leaders have fled the country out of fear for their safety.

We urge the Government of Tanzania to reverse course and hold accountable those responsible for the flawed election, violence, and intimidation. The United States will continue to closely follow developments in Tanzania and will not hesitate to take additional actions against individuals complicit in undermining democracy and violating human rights. Finally, we emphasize that today’s actions are not directed at the Tanzanian people. We commend Tanzanians who participated in the election peacefully and in good faith, and we will work together with all those committed to advancing democracy, human rights, and mutual prosperity.
 
Kwani amezuiwa kujieleza? Mbona vyombo vya habari viko naye kila mahali anapoenda!
Mbona kitengo chake cha habari kinaweza kuitisha mkutano na waandishi wa habari muda wowote!
Mahakama kuu ya nchi yake ina majaji tisa, sita ni Republicans na wawili amewateua yeye,kwa nini haendi huko kudai haki ya kujieleza kama amepokonywa?
Simjui,je huyo aliye mfungia yupo JUU YA KATIBA?

MANAKE KATIBA MMEMPA KILA MTU UHURU WA KUJIELEZA.
 
Na sisi sijui tuwawekee vikwazo walomuibia kura Trump,ila tuache tu maana nyani haoni kundule kwa sababu kundule lipo upande ambao kisogo kipo.
Huyu jamaa kama kuna kitu alivutishwa akiwa mtoto,kha,
 
Biden ni wa chama cha Democrats. Mimi naamini atakuwa na msimamo huo huo au mkali zaidi.

Tujitarayarishe na songombingo. Naamini maCCM hamtaamini kitakachotokea.

Kuhusu orodha wa kwanza IGP na marpc karibu wote. Kuna waziri mkuu, Marc na mdc wake. Uongozi mzima wa CCM kuanzia Mwenyekiti hadi mafagizi wa ofisini. Uongozi wa bunge nzima.

Kuna maofisa wa usalama wa taifa wa ngazi zote. Amini usiamini tusubiri kishindo hata jitihada za kupoza hili jambo hazitasaidia wala kifua dafu kwa sababu ushahidi ni dhahiri sana.
 
Back
Top Bottom