Alitakiwa kuwaweka house arrest wale democrat ambao rais wake Trump wamemuibia kura na kumnyang'anya urais!!! Marekani mbona inajigeuza kituko hivi!? Wapi tutapigia mfano nchi iliyostaarabika huko bara Amerika!?Upuuuuzi, mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza,huku wameifungia acc ya twitter ya Trump....
Jibu hilo hapo [emoji116][emoji116]View attachment 1681469
Sasa nani aliyefanya hivyo ambaye yupo juu ya KATIBA YA US.
Sijui ninachojua mimi not accessible.Lugha gani hiyo? Pameandikwa nini?
Naona tu picha na jina Donald J Trump, nitafsirie hayo maneno mengine.
Wewe unahemuka tu.Alitakiwa kuwaweka house arrest wale democrat ambao rais wake Trump wamemuibia kura na kumnyang'anya urais!!! Marekani mbona inajigeuza kituko hivi!? Wapi tutapigia mfano nchi iliyostaarabika huko bara Amerika!?
Sijui ninachojua mimi not accessible.
Nataka kujua nani yupo juu ya KATIBA.
jamaa naona wanatupanga ipo siku tutajaaKabudi na Siro
Not accessible,hana haki ya kutumi acc yake.Maana yake ni nini?
IMO they need to do more. This is not sufficient enough. The whole illegal cabinet and members of parliament from ccm should be included in this. Also economic sanctions similar to those of Zimbabwe should be put in place ASAP.
Unajua maana ya mfumo wee jamaa? Bora hawaHuyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Trump hayupo juu ya sheria ndoo maana kashindwa kuiba kura.Kule sheria ni msumenoUpuuuuzi.......mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Demokrasia ya wapi hiyo duniani ambapo karatasi za wagombea zinazagaa , mtaani siku moja kabla ya siku ya kupiga kura?huku zimeshatikiwa kwenye majina ya wagombea?hata hapa kwetu tu toka uhuru haijawahi tokea?!!vitu vingine vya kipuuzi acheni kushabikia!!kama ni hivyo basi anza kuishi bila misaada yao!!Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grownto suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Hata aibu hauoni! Sisi hii tunaita last kick of 'dying animal'!!Pompeo kama Pompeo kakoroma yaani
"US baby group" naona kiswahili mfukoni! !!! Kwishiney habari yenu. Ha ha ha ha aa!!!Nisikie tena kelele zenu za haki ya kujieleza na demokrasia wakati walezi wenu wa hiyo liberty hawawezi kufanya hayo waagizayo yafanywe na nchi nyingine.Wewe unahemuka tu.