Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokwenda Marekani ndio uzalendo mpya wa kitanzania.Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makonda kafa?Wewe ambaye hujawahi kwenda hata Kenya huwezi kuona madhara yake, lkn kwa wanaotegemea kufanya biashara nje, kusomesha watoto wao nje, kutibiwa nje, walio na marafiki nje athari ni kubwa.
Elewa ukipigwa ban sio wewe peke yako na familia yako watoto wako mke wako na hata marafiki zako wanaotegemea kusafiri wataogopa kujihusisha nawe, muulize Makonda.
Kwani Mahera ana bidhaa gani anauza USA?1. Huendi kwao hivyo misaada hupati
2. Baadae wanakuwekea vikwazo vya kiuchumi mf bidhaa zako haziuzwi nje
3. Wanaushawishi umoja wa mataifa ukutenge hivyo nao unakuwekea vikwazo
Ile ni marekani mkuu.Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Hivi misaada huwa wanatoa kwa viongozi au sie wananchi? haya mambo ya vikwazo ni vitu ambavyo haviingii akilini kabisa.1. Huendi kwao hivyo misaada hupati
2. Baadae wanakuwekea vikwazo vya kiuchumi mf bidhaa zako haziuzwi nje
3. Wanaushawishi umoja wa mataifa ukutenge hivyo nao unakuwekea vikwazo
Upo nchi gani vile?Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Nenda kasome coments za watu kwenye ile tweet alafu uje useme tenaDunia nzima? Kenya tu hapo hawajaishambulia.
Kwenda USA ndio kumaliza shida za nchi?Mkuu upo saa moja na dakika 7, naona ndo umemaliza piga filigisi za tahusi, Sasa mtu Kama wewe shida za nchi wazijua wapi mkuu, haya tuachie sie makabwela mkuu, hasubuhi njema mkuu
Wazalendo siyo wazururaji!Kutokwenda marekani ndio uzalendo mpya wa kitanzania.
Angalia sasa hapo unamzuia raia wa kawaida kwenda kufanya matibabu huko nje kwa kosa la mtu mwengine kabisa.Wewe ambaye hujawahi kwenda hata Kenya huwezi kuona madhara yake, lkn kwa wanaotegemea kufanya biashara nje, kusomesha watoto wao nje, kutibiwa nje, walio na marafiki nje athari ni kubwa.
Elewa ukipigwa ban sio wewe peke yako na familia yako watoto wako mke wako na hata marafiki zako wanaotegemea kusafiri wataogopa kujihusisha nawe, muulize Makonda.
Mkuu upo saa moja na dakika 7, naona ndo umemaliza piga filigisi za tahusi, Sasa mtu Kama wewe shida za nchi wazijua wapi mkuu, haya tuachie sie makabwela mkuu, hasubuhi njema mkuusiKwenda USA ni big deal sana kumbe?
Nani ana shida na kwenda Marekani siku hizi?
Kama USA mkuu sio kumaliza shida za nchi jiandae na iccKwenda USA ndio kumaliza shida za nchi?
Does he know you?Na mimi namuwekea vikwazo Pompeo asije kukanyaga nyumbani kwangu
Yes any other question?Does he know you?
Are you stupid?yes any other question?
ameanza na mazwazwa majinga kama weweMpumbavu huyu, angemuwekea kwanza Rais wake hivyo vikwazo kwa kutoitii democrasia yao