Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Hivi wanavyowawekea sanctions wasiingie marekani wanajuaje kana na wao hawana muda na kwenda marekani
 
Wewe ambaye hujawahi kwenda hata Kenya huwezi kuona madhara yake, lkn kwa wanaotegemea kufanya biashara nje, kusomesha watoto wao nje, kutibiwa nje, walio na marafiki nje athari ni kubwa.

Elewa ukipigwa ban sio wewe peke yako na familia yako watoto wako mke wako na hata marafiki zako wanaotegemea kusafiri wataogopa kujihusisha nawe, muulize Makonda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makonda kafa?

Eti biashara, hivi Mahera ana biashara gani na wamarekani? Kusomesha watoto ni lazima waende nje?

Wajinga tu kama kina Lisu ndio wanaona hiyo ni big deal maana wao bila nzungu maisha hayaendi.
 
1. Huendi kwao hivyo misaada hupati
2. Baadae wanakuwekea vikwazo vya kiuchumi mf bidhaa zako haziuzwi nje
3. Wanaushawishi umoja wa mataifa ukutenge hivyo nao unakuwekea vikwazo
Kwani Mahera ana bidhaa gani anauza USA?
 
1. Huendi kwao hivyo misaada hupati
2. Baadae wanakuwekea vikwazo vya kiuchumi mf bidhaa zako haziuzwi nje
3. Wanaushawishi umoja wa mataifa ukutenge hivyo nao unakuwekea vikwazo
Hivi misaada huwa wanatoa kwa viongozi au sie wananchi? haya mambo ya vikwazo ni vitu ambavyo haviingii akilini kabisa.
 
Kwani demokrasia yetu lazima ifanane na yao? Nyerere alisema, democracy is not like a bottle of Cocacola that you can just import from some other place, democracy should be self grown to suite the needs of our country, they can shove their sanctions up their stinky azz holes
Upo nchi gani vile?
 
Mkuu upo saa moja na dakika 7, naona ndo umemaliza piga filigisi za tahusi, Sasa mtu Kama wewe shida za nchi wazijua wapi mkuu, haya tuachie sie makabwela mkuu, hasubuhi njema mkuu
Kwenda USA ndio kumaliza shida za nchi?
 
Mie mwenyewe raia wa kawaida tu sina hata hamu ya kwenda huko marekani kwa jinsi ninavyoskia kutoka kwa marafiki zangu wa karibu,maisha ya waafrika na watu weusi huko.
 
Haya wazee wa kutumbukiza Kura feki wazee wa kuteka wagombea wanaorudisha form za uteuzi; wazee wa kukata majina ya wagombea - MELI HIYO
 
Wewe ambaye hujawahi kwenda hata Kenya huwezi kuona madhara yake, lkn kwa wanaotegemea kufanya biashara nje, kusomesha watoto wao nje, kutibiwa nje, walio na marafiki nje athari ni kubwa.

Elewa ukipigwa ban sio wewe peke yako na familia yako watoto wako mke wako na hata marafiki zako wanaotegemea kusafiri wataogopa kujihusisha nawe, muulize Makonda.
Angalia sasa hapo unamzuia raia wa kawaida kwenda kufanya matibabu huko nje kwa kosa la mtu mwengine kabisa.
 
Kwenda USA ni big deal sana kumbe?

Nani ana shida na kwenda Marekani siku hizi?
Mkuu upo saa moja na dakika 7, naona ndo umemaliza piga filigisi za tahusi, Sasa mtu Kama wewe shida za nchi wazijua wapi mkuu, haya tuachie sie makabwela mkuu, hasubuhi njema mkuusi
Kwenda USA ndio kumaliza shida za nchi?
Kama USA mkuu sio kumaliza shida za nchi jiandae na icc
 
1611128368151.png
 
Back
Top Bottom