Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hivi Marekani ndiyo wapi vile!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuwauliza maafisa wa Iran watakupa habari yake, hata Makonda anajua vizuri hii kituHivi misaada huwa wanatoa kwa viongozi au sie wananchi? haya mambo ya vikwazo ni vitu ambavyo haviingii akilini kabisa.
Wanaoteseka ni wananchi kuliko hao viongozi ambao ndio wahusika.Waulize Iranians, Zimbabweans, North Korea etc nini maana ya vikwazo vya waAmerica . Wala usiombe wakaenda deep
Odhis *
Mpaka tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.kageuza mtu kima🙄😀😀😀😀
Fuatilia kule kwa Gadafi kama kuna mmarekani alipata kashkashi au walivamia tu......Hawa ni watu wa maslahi, as long as hakuna Mwamerika aliyepata kashkash, hamna kitu hapo!!
Pole sana mkuu, huko ni taasisi ndio inadeal na wewe wala sio pompeo au Trump yaan ni sawa uwe na kesi ya mauaji na hapa katikati majaji wote wakafa unadhani ndio mwisho wa kesi yakoWajinga tu ndio mnababaika ila dunia ya sasa hivi hakuna nchi ina babaishwa na vikwazo vya wamarekani, yeye mwenyewe anapumulia mashine sasa hivi, akizubaa mchina huyu hapa kwa nyuma yake.
Hao Irani unafikiri wana hali mbaya kama mnavyotangazowa?
hii katiba tunaipataje wajameni.. kama tulikwama kuchagua hii katiba tutaiweza kuigeuza kweli?Mpaka tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Simu unayotumia imetengenezwa na BEBERU, kaa tu hujielewi elewiMnahangaika kweli kweli na mabeberu mkitegemea watawapa urais wa TZ kitu ambacho ni ndoto ya mchana kweupe!
Kama si kwa hiari ni kwa mpera mpera. Economic sanctions zinakuja.hii katiba tunaipataje wajameni.. kama tulikwama kuchagua hii katiba tutaiweza kuigeuza kweli?
shika adabu we binti hivi haya mautumbo unaweza kumwambia babakoWashughulikie Uchaguzi wao, wasitusumbue wao wameshindwa kufanya uchaguzi mpaka aibu, wanyamaze kabisa
Ndio nimeuliza misaada wanayotupa ni kwa ajili ya watu kama akina Makonda au ni kwa ajili ya wananchi? kwa sababu wanapositisha misaada au kuweka vikwazo wanaothirika zaidi ni mimi na wewe sio Makonda. Sasa sijui hapo wewe mwenzangu unafurahia vp na hivi vikwazo.Jaribu kuwauliza maafisa wa Iran watakupa habari yake, hata Makonda anajua vizuri hii kitu
Wajinga sana hawa wasitusumbue, wameshindwa yakwao wanaleta usumbufu kwa wengineUpuuuuzi mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Marekani haifanyi kazi kama nyie Utopolo, na ujue anayekuja ndo mbaya kuliko anayeondoka.Huyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Tundu Lissu ameibiwa kuku akaenda Sumbawanga.😂hii katiba tunaipataje wajameni.. kama tulikwama kuchagua hii katiba tutaiweza kuigeuza kweli?
The action is not simple as you see it. It has far reaching consequences. The European Union and UK will soon join the move.Nikiziangalia sura zilizojazana NEC na kwa msajili wa vyama vya siasa kwa hakika wamejaa wazalendo watupu na wengi wao hata huko Marekani hawakujui...
hahahahaa naona tuishi kwa matumaini tu au kwa hivi vimibinyo vya mabeberu labda vitasaidiaKama si kwa hiari ni kwa mpera mpera. Economic sanctions zinakuja.
kwahiyo kageuza mtu NGEDERE 😲 😛Tundu Lissu ameibiwa kuku akaenda Sumbawanga.😂
ME nasubiri apewe hii post afu ndo tuone nani atampigia saluti mwenzie..Tundu Lissu ameibiwa kuku akaenda Sumbawanga.😂
Mbona Rais Trump amelalamika sana kuibiwa kura, wamefunga account zake ili asiwasiliane na watu wake, na hakuna mahakama, wala Vyombo vya uchunguzi vilivyochukua hatua yeyote hata kumsikiliza kama mwananchi wa kawaida licha yeye kua ni Raisi.