Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niletee mama ako mdogo anishauri nitashukuru sana maana ana akili nyingiUmepungukiwa. Tafuta watu wa kukusaidia. Wenye akili hawafanyi argument kwa hii namna yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu huko Vladmir Putina ndiyo huwa mnashindwa kutofautisha kati ya nchi na viongozi . Mfano aliposemwa kiongozi wetu, mlidai nchi inachafuliwa !!.Sasa hizo nchi ulizozitaja hapo ni zimewekewa vikwazo vya kiuchumi nchi kama nchi(yaani serikali kuu) na siyo viongozi mmoja mmoja...
Wawashughulikie waliofunga account ya twitter ya trump kwanza! Pia wasashughulikie FaceBook waliofungia account za NRM na Serikali ya Uganda.Upuuuuzi mtupu.
Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.
Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
^Hao jamaa zako hawatusumbui akili. Wangoje tuwawekee miundombinu ya utalii na rasilimali kedekede waje ili tupige dollaz zaoKwenu huko Vladmir Putina ndiyo huwa mnashindwa kutofautisha kati ya nchi na viongozi . Mfano aliposemwa kiongozi wetu, mlidai nchi inachafuliwa!...
Ukikata unakufa, usipokata unakufa. What's the point of it all!??? It's quite impossible to be smart (more less too smart) and be buffeted by negative consequences at the same time. Smartness & debilitating reactions do not belong in the same grammatically flawless constructive sentence.
What he meant is, when you are up don’t mistreat your opponents since we are all tied up with the same rope which is politics.Ukikata unakufa, usipokata unakufa. What's the point of it all!??? It's quite impossible to be smart (more less too smart) and be buffeted by negative consequences at the same time. Smartness & deliberations do not belong in the same grammatically flawless constructive sentence.
The artist, then, was simply drunk or out of their mind, possibly due to underpayment. Aren't opponents of any and every sort deserving the cruelest and the worst mistreatment of anything imaginable!??? Because, by definition, one's opponent would never mourn their demise.What he meant is, when you are up don’t mistreat your opponents since we are all tied up with the same rope which is politics.
Kwa taarifa yako marekani wanasera zao huwa aziondoki na mtu zinabakigi ofisin atakaye kuja atazirithi na kuendelea nazoHuyu kibarua chake kinakwisha kesho, itakuwaje kuhusu haya matamko yake?
Mliiba kura Jasmoni Tegga . Inabidi muombe wananchi radhi [emoji23][emoji1787]^Hao jamaa zako hawatusumbui akili. Wangoje tuwawekee miundombinu ya utalii na rasilimali kedekede waje ili tupige dollaz zao.
^Hivi kwani kuna nini tena kimetokea huku jamani^!???
Ni kama nilisikia: ^Sasa, basi! Hatutaibiwa kura mwaka huu kwenye uchaguzi huu!^ ^JPM will go down in history as the first one-term president of the URT since the reintroduction of multiparty political governance^ ^Nikiibiwa kura kwenye uchaguzi huu nitawaingiza wananchi barabarani^ ^We will accept nothing less than free, fair & credible election process & results^
Endelea kutega sikioMajina yamewekwa wapi ?
next week ndipo yatawekwa, soma vizuriMajina yamewekwa wapi ?
Hata hivyo tungeweza kuweka hadharani baadhi ya Majina lakini kwa kuheshimu Protocal ya Marekani hatutafanya hivyonext week ndipo yatawekwa, soma vizuri
Watendaji wote bado wapo IkuluTrump ameshatoka madarakani mbona?