Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

1611190393169.png
 
Sasa hizo nchi ulizozitaja hapo ni zimewekewa vikwazo vya kiuchumi nchi kama nchi(yaani serikali kuu) na siyo viongozi mmoja mmoja...
Kwenu huko Vladmir Putina ndiyo huwa mnashindwa kutofautisha kati ya nchi na viongozi . Mfano aliposemwa kiongozi wetu, mlidai nchi inachafuliwa !!.

Ukinisoma hapo ndiyo maana nikasema tuombe Mungu wasizidishe vikwazo toka kwa viongozi kwenda kwa nchi .

Odhis *
 
Upuuuuzi mtupu.

Wanahamasisha uhuru wa kujieleza, huku wameifungia acc ya twitter ya Trump.

Wanacho kihamasisha wao hawakiishi, wadeal na hali yao wanaiyoipitia sasa baada ya uchaguzi.
Wawashughulikie waliofunga account ya twitter ya trump kwanza! Pia wasashughulikie FaceBook waliofungia account za NRM na Serikali ya Uganda.
 
Bila shaka Kaijage atakuwa mmoja wa waathirika wa hivyo vikwazo.Nimeona anajitutumua kujibu!
 
Kwenu huko Vladmir Putina ndiyo huwa mnashindwa kutofautisha kati ya nchi na viongozi . Mfano aliposemwa kiongozi wetu, mlidai nchi inachafuliwa!...
^Hao jamaa zako hawatusumbui akili. Wangoje tuwawekee miundombinu ya utalii na rasilimali kedekede waje ili tupige dollaz zao

^Hivi kwani kuna nini tena kimetokea huku jamani?
 
Ukikata unakufa, usipokata unakufa. What's the point of it all!??? It's quite impossible to be smart (more less too smart) and be buffeted by negative consequences at the same time. Smartness & deliberations do not belong in the same grammatically flawless constructive sentence.
What he meant is, when you are up don’t mistreat your opponents since we are all tied up with the same rope which is politics.
 
What he meant is, when you are up don’t mistreat your opponents since we are all tied up with the same rope which is politics.
The artist, then, was simply drunk or out of their mind, possibly due to underpayment. Aren't opponents of any and every sort deserving the cruelest and the worst mistreatment of anything imaginable!??? Because, by definition, one's opponent would never mourn their demise.
 
Mliiba kura Jasmoni Tegga . Inabidi muombe wananchi radhi [emoji23][emoji1787]

Odhis *
Ni kama nilisikia: ^Sasa, basi! Hatutaibiwa kura mwaka huu kwenye uchaguzi huu!^ ^JPM will go down in history as the first one-term president of the URT since the reintroduction of multiparty political governance^ ^Nikiibiwa kura kwenye uchaguzi huu nitawaingiza wananchi barabarani^ ^We will accept nothing less than free, fair & credible election process & results^

The bottomline: The election was free, fair, peaceful and credible -- even too transparent and trustworthy than that of Mr Trump's dumb country called US
 
Baada ya Serikali ya Marekani kutangaza kuwachukulia hatua maofisa wote wa Tanzania walioshiriki kuharibu Uchaguzi , baadhi ya wadau wenye upeo duni wa hapa JF na kwenye mitandao mingine waliona kama hakuna ofisa yeyote atakayeguswa wala kuathirika na adhabu hiyo kwa vile hakuna ofisa yeyote mwenye mzuka wa kusafiri kwenda Marekani .

Lakini sasa imebainika kwamba familia za maofisa wengi wanaotuhumiwa zinaishi USA ama kwa masomo au kikazi , na baada ya majina halisi kuwekwa hadharani mnamo wiki ijayo baadhi ya familia hizo zitaanza kutimuliwa .

Ikumbukwe kwamba ni aibu kubwa mno kwa familia kufukuzwa Marekani kutokana na Baba yako au Mama yako kusigina demokrasia ya nchi mliyotoka .
 
Back
Top Bottom