Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

Chezeya BEBERU weye! FUKUZA wote hao na wasichukue hata senti kutoka kwenye bank accounts zao na kama walishachukua uraia na wao kuwa MABEBERU futa uraia wao.
Baada ya Serikali ya Marekani kutangaza kuwachukulia hatua maofisa wote wa Tanzania walioshiriki kuharibu Uchaguzi , baadhi ya wadau wenye upeo duni wa hapa JF na kwenye mitandao mingine waliona kama hakuna ofisa yeyote atakayeguswa wala kuathirika na adhabu hiyo kwa vile hakuna ofisa yeyote mwenye mzuka wa kusafiri kwenda Marekani...
 
Hizi nguvu wanazopoteza wapinzani mitandaoni si bora wangeanzisha hata tu group twa facebook, nk wakawa wanakusanya nguvu kwa ajili ya 2025 ili angalau wapate wabunge wa kuchaguliwa 4 tu!
 
Hizi nguvu wanazopoteza wapinzani mitandaoni si bora wangeanzisha hata tu group twa facebook, nk wakawa wanakusanya nguvu kwa ajili ya 2025 ili angalau wapate wabunge wa kuchaguliwa 4 tu!
Kwa sasa kazi yao ni kuokota kila wanachosikia hata kama hakina uhalisia na faida kwa taifa kama hii mada hapa
 
Waanze kuzifurusha zikasome na kuishi China ndipo panafaa watu wa aina hio.
 
Trump ameshatoka madarakani mbona?
Trump alidhani USA ni afrika akataka kugomea kubakia madarakani akakuta tayari mifumo yote imemtupa,kapokonywa walinzi wa raisi, air force one haikutambui, secretary haimpi ushirikiano, mamlaka zote hazimtambui akajikuta anakuwa raisi wa twitter na wafuasi wake,trump ndie bogus kuliko marais wote waliowahi ongoza USA alipewa tu sababu waliona ni heri kuliko kumpa mwanamama.
Trump ana element za kiafrica japo ni Mzungu.
 
Hizi nguvu wanazopoteza wapinzani mitandaoni si bora wangeanzisha hata tu group twa facebook, nk wakawa wanakusanya nguvu kwa ajili ya 2025 ili angalau wapate wabunge wa kuchaguliwa 4 tu!
Jitahidi sana usifikie ngazi ya kuitwa mpumbavu.
 
Jitahidi sana usifikie ngazi ya kuitwa mpumbavu.
Mpaka hapa mimi ni "mpumbavu" kwa uelewa wako! Mkuu siasa ni mkakati....unaanza na mtu mmoja, wawili hadi kikundi cha mamia ya watu ambao mnakuja na "idea" moja itakayo waunganisha kutetea/kudahi haki zenu....kukaa ukisubiri mwenzako akosee ndipo ujenge hoja juu ya makosa yake au kusubiri waharibikiwe ndio ujijenge ni utumwa mbaya wa fikra!

Hebu waza nje ya mazoea kuwa hadi 2023 kikundi chetu kitakuwa na wanachama milioni 2 ambao tukauwa tunajadiliana kupitia facebook, discord, nk. Kumtegemea Mbowe kutawachelewesha sana, mwenzako analipwa mshahara kutokanana ruzuku, sio mwenzenu yule!
 
US President Joe Biden has begun to undo some of Donald Trump's key policies, hours after being sworn in, including ending the travel ban on some majority-Muslim countries.

His proclamation said that the US “was built on a foundation of religious freedom and tolerance, a principle enshrined in the United States Constitution”.

“Nevertheless, the previous administration enacted a number of executive orders and presidential proclamations that prevented certain individuals from entering the United States - first from primarily Muslim countries, and later, from largely African countries.

“Those actions are a stain on our national conscience and are inconsistent with our long history of welcoming people of all faiths and no faith at all.”

Mr Trump signed a controversial travel ban just seven days after taking office as US president in January 2017, arguing it was vital to protect Americans.

People from Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen, Venezuela, and North Korea were banned from obtaining any kind of visa. Chad was taken off this list in 2019. Last February, citizens of six more countries were barred from obtaining certain types of visas, including those from Eritrea, Nigeria, Sudan, and Tanzania.

Mr Biden said the actions of Mr Trump’s administration had undermined national security.

“They have jeopardised our global network of alliances and partnerships and are a moral blight that has dulled the power of our example the world over. And they have separated loved ones, inflicting pain that will ripple for years to come. They are just plain wrong.”

But the new president said the US would still take threats to the country seriously.

“When visa applicants request entry to the United States, we will apply a rigorous, individualised vetting system. But we will not turn our backs on our values with discriminatory bans on entry into the United States.”

===
Salary Slip, na wenzako mnaitwa huku.
 
Ni kama nilisikia: ^Sasa, basi! Hatutaibiwa kura mwaka huu kwenye uchaguzi huu!^ ^JPM will go down in history as the first one-term president of the URT since the reintroduction of multiparty political governance^ ^Nikiibiwa kura kwenye uchaguzi huu nitawaingiza wananchi barabarani^ ^We will accept nothing less than free, fair & credible election process & results^

The bottomline: The election was free, fair, peaceful and credible -- even too transparent and trustworthy than that of Mr Trump's dumb country called US
Kutumia vyombo vya dola na vya maamuzi kukandamiza ushindi na nia ya wao kudai rights zao siyo ushujaa ni uoga.

Bora hao wapinzani wanaodai haki zao kwa amani , kuliko wale waliojawa uoga na kuiba kura bila akili , na kufikia kuliaibisha taifa kufikia kunyishewa vidole. Zamani Sisi Tz ,ndiyo tulikuwa tukiwanyooshea vidole wabaguzi wa rangi na na dictator pote ulimwenguni. Leo ni kinyume chake tunanyoshewa vidole. Kama taifa tumekosea sana njia

Odhis *
 
Back
Top Bottom