Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Watendaji wa Biden ndio wapo Ikulu na Biden hana shobo za kishamba kama TrumpWatendaji wote bado wapo Ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watendaji wa Biden ndio wapo Ikulu na Biden hana shobo za kishamba kama TrumpWatendaji wote bado wapo Ikulu
Huna akili we kidampa.Endelea kutega sikio
Biden ni mwanadekrasia haitavumilia ujinga kama uliofanywa na CCM na makufuli wake kubaki madarakani. Mda utaongea vizuriWatendaji wa Biden ndio wapo Ikulu na Biden hana shobo za kishamba kama Trump
Kwani hapo lumumba mnafundishwa kuwa trump ndio America?Trump ameshatoka madarakani mbona?
Baada ya Serikali ya Marekani kutangaza kuwachukulia hatua maofisa wote wa Tanzania walioshiriki kuharibu Uchaguzi , baadhi ya wadau wenye upeo duni wa hapa JF na kwenye mitandao mingine waliona kama hakuna ofisa yeyote atakayeguswa wala kuathirika na adhabu hiyo kwa vile hakuna ofisa yeyote mwenye mzuka wa kusafiri kwenda Marekani...
Yakiwekwa unitagnext week ndipo yatawekwa, soma vizuri
Kwa sasa kazi yao ni kuokota kila wanachosikia hata kama hakina uhalisia na faida kwa taifa kama hii mada hapaHizi nguvu wanazopoteza wapinzani mitandaoni si bora wangeanzisha hata tu group twa facebook, nk wakawa wanakusanya nguvu kwa ajili ya 2025 ili angalau wapate wabunge wa kuchaguliwa 4 tu!
Alianza bashite jiwes and company mjiandae USA na Ulaya mtaiona kwenye youtube tu.Kwa sasa kazi yao ni kuokota kila wanachosikia hata kama hakina uhalisia na faida kwa taifa kama hii mada hapa
Trump alidhani USA ni afrika akataka kugomea kubakia madarakani akakuta tayari mifumo yote imemtupa,kapokonywa walinzi wa raisi, air force one haikutambui, secretary haimpi ushirikiano, mamlaka zote hazimtambui akajikuta anakuwa raisi wa twitter na wafuasi wake,trump ndie bogus kuliko marais wote waliowahi ongoza USA alipewa tu sababu waliona ni heri kuliko kumpa mwanamama.Trump ameshatoka madarakani mbona?
Erv, condoms,viza,Sasa wataathiriiake maana sioni chochote wanachohitaji kutoka Marekani.
Jitahidi sana usifikie ngazi ya kuitwa mpumbavu.Hizi nguvu wanazopoteza wapinzani mitandaoni si bora wangeanzisha hata tu group twa facebook, nk wakawa wanakusanya nguvu kwa ajili ya 2025 ili angalau wapate wabunge wa kuchaguliwa 4 tu!
Mpaka hapa mimi ni "mpumbavu" kwa uelewa wako! Mkuu siasa ni mkakati....unaanza na mtu mmoja, wawili hadi kikundi cha mamia ya watu ambao mnakuja na "idea" moja itakayo waunganisha kutetea/kudahi haki zenu....kukaa ukisubiri mwenzako akosee ndipo ujenge hoja juu ya makosa yake au kusubiri waharibikiwe ndio ujijenge ni utumwa mbaya wa fikra!Jitahidi sana usifikie ngazi ya kuitwa mpumbavu.
Nitadhukuru sana kama mahera akitiwa nguvuni. Akawataje kina diwani siro na yule cdf wa kishoshaMahera inakuhusu hii
Kutumia vyombo vya dola na vya maamuzi kukandamiza ushindi na nia ya wao kudai rights zao siyo ushujaa ni uoga.Ni kama nilisikia: ^Sasa, basi! Hatutaibiwa kura mwaka huu kwenye uchaguzi huu!^ ^JPM will go down in history as the first one-term president of the URT since the reintroduction of multiparty political governance^ ^Nikiibiwa kura kwenye uchaguzi huu nitawaingiza wananchi barabarani^ ^We will accept nothing less than free, fair & credible election process & results^
The bottomline: The election was free, fair, peaceful and credible -- even too transparent and trustworthy than that of Mr Trump's dumb country called US
Huyo unaemwita jiwe tokea alipoingia madarakan hakuwahi na hatowahi kutetemekea kwenda US au Ulaya. Wanaopigania kwenda Ulaya ni Lisu, Lema na magenge yaoAlianza bashite jiwes and company mjiandae USA na Ulaya mtaiona kwenye youtube tu.