Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Hana jeuri hiyo.China inaanza saa ngapi kujibu mapigo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana jeuri hiyo.China inaanza saa ngapi kujibu mapigo ?
Wacha weeee, mna ushabiki wa kitoto sana. US sio size yenu.China imetuma kombora mamaeeee.
Bibi kashatua Taiwan na ugali kala tayari unazungumzia nini?hiyo anga itakuwa ina vurugu sana mda huu, huenda voice & data huko taiwan ni za kutafuta na torch.
Kumbe ni mzee....?Nancy pelosi [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]View attachment 2312137
Subiri kikao kiishe.Hana jeuri hiyo.
Jeuri atapewa na Rais wa North Korea soon or later.Hana jeuri hiyo.
Betina ni kituko hasa.Huwa namuona kituko anavyojinyenyekesha kwa Hangaya... hovyo sana.
Mama Samia is better bitter than Joh Biden.Huyu mama pelosi apewe urais wa usa baada ya Biden kumaliza muda wake
Hivi hapa kwetu Betina anaweza fanya maamuzi asiingiliwe kweli
Katika mgogoro ambao utaigharimu Afrika basi ni huu. Maisha yetu ya kila siku yanategemea bidhaa za China kwa kiasi kikubwa. Imagine China awekewe vikwqzo vya kiuchumi kama alivowekewa urusi walahi Africa itaangamia.
Bara hili limekosa viongozi wenye uthubutu Wanachojua wao ni ufisadi na kuomba omba kwa wakubwa, Ndio mana kina Makroni wanatutukana mbele ya wake zetu Tena nyumbani kwetu dadeki
Umesikia? Katua, salama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatoa wapi hicho kiburi
Pro USA vichwa panzi. Ktk hili game USA ameluzi pakubwa sana kwa sababu ya kutaka kutumia nguvu mahali panapoitaji kutumia akili.Umesikia? Katua, salama.
Na ktika hali yoyote ile China isingeweza kushambulia msafala wa maafisa wa marekani. Kwasababu marekani imetaka kjtumia nguvu mahali pa kutumia akili, basi ajenda yake juu ya Taiwan zitakuwa ngumu sanaUmesikia? Katua, salama.