Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

Marekani kuhakikisha Pelosi anatua salama Taiwan

62e904862030275de944861b.jpg


China dispatch Navy
 
Itakuwa funzo kwa Africa kuanza kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji
Katika mgogoro ambao utaigharimu Afrika basi ni huu. Maisha yetu ya kila siku yanategemea bidhaa za China kwa kiasi kikubwa. Imagine China awekewe vikwqzo vya kiuchumi kama alivowekewa urusi walahi Africa itaangamia.
Bara hili limekosa viongozi wenye uthubutu Wanachojua wao ni ufisadi na kuomba omba kwa wakubwa, Ndio mana kina Makroni wanatutukana mbele ya wake zetu Tena nyumbani kwetu dadeki
 
Aisee...
Yaani huyu mchina tunaebananae kariakoo kwenye viduka vya spea za pikipiki amdindishie Mnyamwezi.....
Wazungu wanasema , "Mpishi anajua fasi yake ni jikoni"....
Hebu tuangalie takwimu za silaha za maangamizi....

1659487946828.png
 
Umesikia? Katua, salama.
Na ktika hali yoyote ile China isingeweza kushambulia msafala wa maafisa wa marekani. Kwasababu marekani imetaka kjtumia nguvu mahali pa kutumia akili, basi ajenda yake juu ya Taiwan zitakuwa ngumu sana
 
Back
Top Bottom