Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Kuna hali tete ndani ya jumba jeupe na wakuu wa usalama wa Taifa la marekan CIA pamoja na Mossad wanafanya analysis za mwisho tayari kuishambuli taifa la Iran.

Taifa za siri ambazo hazijawa rasm inasemeka waziri mkuu wa Japan yupo Iran na kama tunavyojuwa leo mwli mbil za mafuta zimeshambuliwa na moja wapo ni meli ya Japan. Inasemekana toripido zilizokuwa chini ya Bahari ndio zimeleta majanga na Iran waliwahi kama kufuta ushahidi.

Hata hivyo makomando wa Marekan walipata taarifa nakuwasuta Iran as if wanatoa msaada. Ila inasemekana kuna kazi walikuwa wakifanya. Ikumbukwe kuwa Iran walisha Sema vikwazo walivyo wekewa hawato kubali waumie wenyewe.

Tayari Rais wa Marekan Amesha pewa taarifa na lolote laweza kutokea kuanzia sasa. Inasemekana wanasubiri waziri mkuu wa Japan aondoke ndipo walianzishe pia tayari mataifa rafiki ya marekan kama Saud, na Eur bila msahau Israel wamesha nyanyuwa vichwa vya nyuklia kuelekea Iran.

Tuombee dunia maana yajayo ni mazito. Na Uwenda yakapandisha bei za mafuta kwa kiwango kikubwa sana.

Update
Iran kuishambulia Dron ya Usa nimakosa ambayo itajutia.

Marekan jana tare 18/07/2019. Imelipiza kisasi kwa kuidunguwa Dron ya Iran bad thing. Iran imeteka mel ya mafuta ya magharibi yenye lts1m.

Kiufupi niswala la muda tuombe Mungu B52 zitatikisa ardhi ya iran.
 
Nachukia sana vita maana watakaoumia ni watu wengi wasio na hatia yoyote.
Ila kama Iran inamtegemea mrusi, pole zao. Mtegemea cha dugu hufa maskini
IRAN HAIMTEGEMEI MRUSI, IRAN IKO STAND ALONE KWA KILA KITU, BAADA YA S-300 ALIZOPEWA NA MRUSI SIDHANI KAMA KUNA SILAHA NYENGINE KUBWA ALIZOTOA KUWAPA IRAN, IRAN ANAJITEGEMEA KWA KILA KITU, ANAVIWANDA VINGI SANA VYA SILAHA ZA KISASA
 
IRAN HAIMTEGEMEI MRUSI, IRAN IKO STAND ALONE KWA KILA KITU, BAADA YA S-300 ALIZOPEWA NA MRUSI SIDHANI KAMA KUNA SILAHA NYENGINE KUBWA ALIZOTOA KUWAPA IRAN, IRAN ANAJITEGEMEA KWA KILA KITU, ANAVIWANDA VINGI SANA VYA SILAHA ZA KISASA
Kuna mtu kasema watamjua mrusi ni nani...vita uanzishe wewe mrusi aje kukuokoa. Utamlipa nini?
 
Back
Top Bottom