Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

Okokeni siku hizi ni za mwisho
Kuna hali tete ndani ya jumba jeupe na wakuu wa usalama wa Taifa la marekan CIA pamoja na Mossad wanafanya analysis za mwisho tayari kuishambuli taifa la Iran.

Taifa za siri ambazo hazijawa rasm inasemeka waziri mkuu wa Japan yupo Iran na kama tunavyojuwa leo mwli mbil za mafuta zimeshambuliwa na moja wapo ni meli ya Japan. Inasemekana toripido zilizokuwa chini ya Bahari ndio zimeleta majanga na Iran waliwahi kama kufuta ushahidi.

Hata hivyo makomando wa Marekan walipata taarifa nakuwasuta Iran as if wanatoa msaada. Ila inasemekana kuna kazi walikuwa wakifanya. Ikumbukwe kuwa Iran walisha Sema vikwazo walivyo wekewa hawato kubali waumie wenyewe.

Tayari Rais wa Marekan Amesha pewa taarifa na lolote laweza kutokea kuanzia sasa. Inasemekana wanasubiri waziri mkuu wa Japan aondoke ndipo walianzishe pia tayari mataifa rafiki ya marekan kama Saud, na Eur bila msahau Israel wamesha nyanyuwa vichwa vya nyuklia kuelekea Iran.

Tuombee dunia maana yajayo ni mazito. Na Uwenda yakapandisha bei za mafuta kwa kiwango kikubwa sana.
 
Sidhani kama US ana mpango wa kuishambulia Iran. Nadhani alipata funzo kubwa kupitia Iraq. So si rahisi kuanzia vita nyingine tena hapo Middle East
Iran it's being built Atomic boom.. Ages and no any Western media's would allow to tells this..But aside from the wall, the fear of what the USA is willing to do (nuke Iran) would put EVERYONE on notice... It may have taken years, but they don't https://jamii.app/JFUserGuide around ANY MORE... Iran it's not Libya Syria, Iraq or Afghanistan
 
Source ya habari hii ni media gani?

Nadhani alichojibiwa USA na balozi wa iran nchini marekani kiliskilikna, USA ililitaja iran kma ni taifa la kiislam na ni magaidi bas iran nae akasema yuko tayar kwa lolote juu ya maadui zake.
 
Kuna hali tete ndani ya jumba jeupe na wakuu wa usalama wa Taifa la marekan CIA pamoja na Mossad wanafanya analysis za mwisho tayari kuishambuli taifa la Iran.

Taifa za siri ambazo hazijawa rasm inasemeka waziri mkuu wa Japan yupo Iran na kama tunavyojuwa leo mwli mbil za mafuta zimeshambuliwa na moja wapo ni meli ya Japan. Inasemekana toripido zilizokuwa chini ya Bahari ndio zimeleta majanga na Iran waliwahi kama kufuta ushahidi.

Hata hivyo makomando wa Marekan walipata taarifa nakuwasuta Iran as if wanatoa msaada. Ila inasemekana kuna kazi walikuwa wakifanya. Ikumbukwe kuwa Iran walisha Sema vikwazo walivyo wekewa hawato kubali waumie wenyewe.

Tayari Rais wa Marekan Amesha pewa taarifa na lolote laweza kutokea kuanzia sasa. Inasemekana wanasubiri waziri mkuu wa Japan aondoke ndipo walianzishe pia tayari mataifa rafiki ya marekan kama Saud, na Eur bila msahau Israel wamesha nyanyuwa vichwa vya nyuklia kuelekea Iran.

Tuombee dunia maana yajayo ni mazito. Na Uwenda yakapandisha bei za mafuta kwa kiwango kikubwa sana.
Walijaribugi mwaka wa 78 wakaumbuliwa vibaya sana.
 
Back
Top Bottom