Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

Nashauri Lianzishwe Jukwaa la habari za Kufikirika au Kudhania.. ASSUMPTION NEWS.

Yani jamaa kaandika kana kwamba yeye ndiye KARANI WA HICHO KIKAO
 
Wajaribu kuishambulia Ndio watamjua urusi ni nani.
Vita vina gharama ndugu. Huyo mrusi wako hawezi kushindana na Marekani. Kwa upeo mdogo unaweza kusema unapigana na Marekani kumbe unapigana na nchi 21 bila wewe kujua. Marekani akisimama kuna nchi 12 zipo naye. Mrusi au mchina hana ubavu kwa Marekani. Ulitambue hilo mpaka keshokutwa
MAREKANI HAPIGANI VITA VYA OVYO OVYO YEYE HUPIGANA VITA VYA FAIDA. HAPO KUNA MAFUTA LAZIMA VITA IPIGWE NA MAREKANI LAZIMA ACHUKUE MAFUTA. AKIPIGANA NA URUSI, CHINA NA KOREA KASKAZINI ATACHUKUA NINI? HUYO MRUSI NA MCHINA YUPO CHINI YA MAREKANI
 
Hahahaha!!! Unanikumbusha issue za North Korea.
Siku hizi Marekani ni kama mbwa koko.
Siyo mbwa koko kama unavyofikiri. Marekani anatumia akili sana katika kupigana vita. Marekani siyo kama alimshindwa Mkorea ila hana cha kuchukua. Atachukua nini Korea wakati Marekani anapigana vita vya faida? kumuelewa Marekani inatakiwa uwe na akili kubwa. MAREKANI HAPIGANI VITA ILI MRADI VITA. ANAJUA NIKISHAMPIGA IRAQ NINATACHUKUA MAFUTA YA KUTOSHA. NDIYO MAREKANI ANACHOFANYA.
VITA VINA GHARAMA SANA. MAREKANI ANAPOSIMAMA KUNA NCHI KAMA 12 NYUMA YAKE.
 
IRAN HAIMTEGEMEI MRUSI, IRAN IKO STAND ALONE KWA KILA KITU, BAADA YA S-300 ALIZOPEWA NA MRUSI SIDHANI KAMA KUNA SILAHA NYENGINE KUBWA ALIZOTOA KUWAPA IRAN, IRAN ANAJITEGEMEA KWA KILA KITU, ANAVIWANDA VINGI SANA VYA SILAHA ZA KISASA
fuatilia vizuri!! Iran is not Syria !!!
 
Vita vina gharama ndugu. Huyo mrusi wako hawezi kushindana na Marekani. Kwa upeo mdogo unaweza kusema unapigana na Marekani kumbe unapigana na nchi 21 bila wewe kujua. Marekani akisimama kuna nchi 12 zipo naye. Mrusi au mchina hana ubavu kwa Marekani. Ulitambue hilo mpaka keshokutwa
MAREKANI HAPIGANI VITA VYA OVYO OVYO YEYE HUPIGANA VITA VYA FAIDA. HAPO KUNA MAFUTA LAZIMA VITA IPIGWE NA MAREKANI LAZIMA ACHUKUE MAFUTA. AKIPIGANA NA URUSI, CHINA NA KOREA KASKAZINI ATACHUKUA NINI? HUYO MRUSI NA MCHINA YUPO CHINI YA MAREKANI
Hizo nchi zishaanza kumtosa aisee
 
Hapo unatudanganya sasa china na urusi itakuaje chini ya USA ilhal kuna vita ambazo china alikataa kumsaidia America kijeshi mfano ya libyaa?
Hzo nchi 12 unazozitaja zishaanza kumtosa jamaa yani
 
Hapo unatudanganya sasa china na urusi itakuaje chini ya USA ilhal kuna vita ambazo china alikataa kumsaidia America kijeshi mfano ya libyaa?
Hzo nchi 12 unazozitaja zishaanza kumtosa jamaa yani
Unaweza kunipa ushahidi kwamba China alikataa kumsaidia marekani? Marekani na China hazivii hata siku mmoja kama ulikmbia shule hautanielewa. Angalia kwenye Vita vya dunia 1 na 2 ndiyo utajua. nina zungumzia nini
Marekani hawezi kutoswa kama unafikiri Marekani anaakili sana na vita vyake anapigana kwa akili sana. Na Marekani ana marafiki wengi sana karibu dunia nzima.
 
Marekani kwa Irani Ni mbwa Koko tu atabweka kisha ataacha IRAN wafanye wanavyotaka.

Uwanja wa ndege wa Saudi jana umeshambuliwa hao marekani wamekaa kimya kama hawajaskia chochote.

Ngoja tusubiri mzeee wa mipasho atasemaje kule Twitter[emoji23][emoji23][emoji23]
😀 😀 😀 😀
 
Hizo nchi zishaanza kumtosa aisee
Ni ngumu sana na huwezi kuwajua marafiki sahihi wa marekani. Ukumbuke Marekani anaposimama kuna nchi 12 nyuma yake. Wewe subiri Iran apigwe, achukue mafuta na akimaliza anaweka mtu wake ndicho anachofanya Marekani.
Ulimuona Sadam? Sadam alikuwa mbishi, alipigwa, wakachukua mafuta na wakaweka mtu wao mpaka leo Iraq haina ubavu kwa Marekani na kibaya zaidi anauziwa silaha na marekani ndiyo ujue Mmarekani nyoko.
Hao waarabu hawana msaada wowote zaidi ya kutoka kwa ndugu zao warabu na tekn0lojia yao ni ya kizamani sana.
 
We mpuuzi kweli badala ya kuombea mmarekani aangushwe aache kuonea wanyonge eti iran iangushwe we sio mzma
Mwarabu akitawala hii dunia kutakuwa na machafuko mengi sana yaani wote watalazimishwa wawe waislamu, ukikataa unauwawa. Mfano mdogo angalia Zanzibar yaani mtu anakatazwa kula hata kama siyo imani yako. Yaani funga yako inanihusu nini mimi? Umefunga kutubu dhambi au umefunga kula?. Mimi naombea Iran ale kichapo cha mbwa koko yaani taifa lolote la kiarabu likija juu lifutiliwe mbali kabisa maana warabu ni watu wa ovyo sana na wameendekeza dini sana.
 
Taifa za siri ambazo hazijawa rasm inasemeka waziri mkuu wa Japan yupo Iran na kama tunavyojuwa leo mwli mbil za mafuta zimeshambuliwa na moja wapo ni meli ya Japan. Inasemekana toripido zilizokuwa chini ya Bahari ndio zimeleta majanga na Iran waliwahi kama kufuta ushahidi.

YANI HAPO UMENICHEKESHA SANA. WEWE CIA ??? Ata CIA wenyewe haya mambo hawayajui uko vizuri.
 
Back
Top Bottom