Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
Nakuona mkuu uko Washington Nini!!?[emoji23][emoji23]
Siyo mbwa koko kama unavyofikiri. Marekani anatumia akili sana katika kupigana vita. Marekani siyo kama alimshindwa Mkorea ila hana cha kuchukua. Atachukua nini Korea wakati Marekani anapigana vita vya faida? kumuelewa Marekani inatakiwa uwe na akili kubwa. MAREKANI HAPIGANI VITA ILI MRADI VITA. ANAJUA NIKISHAMPIGA IRAQ NINATACHUKUA MAFUTA YA KUTOSHA. NDIYO MAREKANI ANACHOFANYA.
VITA VINA GHARAMA SANA. MAREKANI ANAPOSIMAMA KUNA NCHI KAMA 12 NYUMA YAKE.