STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nimecheka sanaMzungu anakutambua wewe ni mnyama yupi yule? Nikumbushe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nimecheka sanaMzungu anakutambua wewe ni mnyama yupi yule? Nikumbushe mkuu
Naona wenye meli zao wanadai ilipigwa na kitu kutoka juu!! Wna pingana na US!SIJUI Mkuu, muda ndo utaongea japo sidhani kwa utawala huu maana Trump alishasema tangu kwenye kampeni kwamba hataki tena Marekani ipigane Vita za ovyoovyo hasa hapo middle East
[emoji23] [emoji23] ujuaji mwingine bhn Urusi ana kila kitu gesi mafuta na madini mbn marekani hasogez puaSiyo mbwa koko kama unavyofikiri. Marekani anatumia akili sana katika kupigana vita. Marekani siyo kama alimshindwa Mkorea ila hana cha kuchukua. Atachukua nini Korea wakati Marekani anapigana vita vya faida? kumuelewa Marekani inatakiwa uwe na akili kubwa. MAREKANI HAPIGANI VITA ILI MRADI VITA. ANAJUA NIKISHAMPIGA IRAQ NINATACHUKUA MAFUTA YA KUTOSHA. NDIYO MAREKANI ANACHOFANYA.
VITA VINA GHARAMA SANA. MAREKANI ANAPOSIMAMA KUNA NCHI KAMA 12 NYUMA YAKE.
Ananichekesha huyu kichaaTRAMP ANATAKA MAZUNGUMZO YARUDI KWENYE MEZA HUKO BAADA YA MELI ZA MAFUTA KUCHOMWA [emoji23][emoji23][emoji23], KUFELI KWENGINEView attachment 1127622


Wewe hapo unaendekeza umarekani kwakuwa wanalazimisha ushogaMwarabu akitawala hii dunia kutakuwa na machafuko mengi sana yaani wote watalazimishwa wawe waislamu, ukikataa unauwawa. Mfano mdogo angalia Zanzibar yaani mtu anakatazwa kula hata kama siyo imani yako. Yaani funga yako inanihusu nini mimi? Umefunga kutubu dhambi au umefunga kula?. Mimi naombea Iran ale kichapo cha mbwa koko yaani taifa lolote la kiarabu likija juu lifutiliwe mbali kabisa maana warabu ni watu wa ovyo sana na wameendekeza dini sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] Swadakta mkuuWewe hapo unaendekeza umarekani kwakuwa wanalazimisha ushoga
Hayo yatakuwa mahubiri ya leo uliyoyapata kwa nabii Tito.Ushoga ni tabia hata warabu mashoga utawakuta. Mashoga wengi wanapatikana katika nchi ambazo zinawaislamu wengi. Zanzibar, Mombasa, Pemba na Unguja utawakuta. Kuna mashoga wengi sana yenye majina ya kiarabu. Huko Uarabuni mwanamke anatakiwa aolewe akiwa bikira sasa ili kulinda bikira zao wanatumia Tigo ndiyo maana michezo ya kufirana Zanzibar imekisiri sana hasa kwa watoto wa kike. Hii tabia za kishoga zipo kwenye nchi za kikristu na za Kiislamu.
Ukumbuke hakuna dini ya Mungu. Mungu hana dini japo Warabu wanawapotosha watu waamini na wasijue kuwa Mungu hana dini ndiyo maana wanatumia lugha ya kiarabu kuwapumbaza na kuwadanganya watu na kweli wamefanikiwa katika hilo na ndiyo maana Muislam yoyote anamini mungu wake ni Allah na akifa atapewa makibikra 12 na juisi na kipindi anazikwa anachinjwa halafu anageuzwa shingo ili asife kibudu. Huwa wanafunika shuka juu wakiwa wanafanya yao kaburini.
USHOGA SIYO UKRISTO WALA UGAIDI SIYO UISLAMU ILA WATU WENYE AKILI NDOGO HUSISHA MATENDO YA MTU NA DINI. WATU WOTE WANGEKUWA WANAENDA MBIGUNI KWA SABABU YA DINI BASI INGEKUWA HAKUNA HAJA YA KUHUBIRIWA KUACHA KUTENDA DHAMBI.
DINI ZILIANZISHWA NA WANADAMU KWA AJILI YA KUMTAFUTA MUNGU NDIYO MAANA KWENYE DINI UTAWAKUTA WAFIRAJI, WAFIRWAJI, WEZI, WALAFI, WAZINZI N.K
Unaota wewe amka usingizini ukakojoeMarekani atapigwa achakae kama noti ya jero
Hahahaha..Teh ....
Wanapigania nini...
AhahahaHahahaha..
Iran kaliteka eneo la Kagera na kulitangaza kuwa ni sehemu yake, Marekani anataka kulikomboa eneo hilo kwasababu 'NIA ANAYO, SABABU ANAYO NA UWEZO ANAO'..
Duuuh!! [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha..
Iran kaliteka eneo la Kagera na kulitangaza kuwa ni sehemu yake, Marekani anataka kulikomboa eneo hilo kwasababu 'NIA ANAYO, SABABU ANAYO NA UWEZO ANAO'..
NDUGU YANGU HABARI ZA KUOMBANA MAKOPA YA MIHOGO NA CHUMVI YA MAWE USIILETE KWENYE VITA, UNAFIKIRI VITA YA KAGERA BILA MSAADA WA CHINA NA URUSI TUNGECHOMOKA? MBONA US HANYANYUKI BILA UK NA UFARANSA? ULIONA ALICHOFANYA ASSAD WA SYRIA BAADA YA KUWAONA US, UK NA FRANCE MLANGONI KWAKE? ALIKWENDA KWA PUTIN NA KUOMBA MSAADA ZIKAPIGWA HADI WA UK, US NA FRANCE WAKAAMUA KURUDI HOME NA KUWAACHA ASSAD NA PUTIN.Nachukia sana vita maana watakaoumia ni watu wengi wasio na hatia yoyote.
Ila kama Iran inamtegemea mrusi, pole zao. Mtegemea cha dugu hufa maskini
PRO US NA US YENYEWE MNA MBWEMBWE SANA MARA OOH KIDUKU WANALALA NA NJAA MWAKA HUU HAWAKUVUNA MAHINDI TUTAMPIGA ASUBUHI TU, OOH YALE MADUDE ANAYOONYESHA SIYO MAKOMBORA NI MIDOLI YA MAPIPA KWELI TUKAONA MELI NA AIRCRAFT CARRIER ZIKIELEKEA KWA KIDUKU, MARA TUKAMSIKIA KIDUKU AKISEMA KUWA ATAKAEGUSA BAHARI YETU TUTAMCHAKAZA NA KAMA HAAMINI AGUSE MARA TUKASIKIA MELI ZA US ZIMEPIGA RIVASI ZIMEELEKEA SOUTH KOREA KUPIGA JALAMBA.
Trump bana,kumbe ziara ya japan ilikuwa kwenda kumwomba PM akaongee na iran ili warudi mezani,ujue Netanyau anampotosha sana Trump,halafu likisanuka Netanyau anakaa pembeni,sasa Trump anajiuliza yuko tayari aruhusu vita na iran wakati pale gulf kila siku lazima yapite mafuta pipa miliopni kumi ama laa ulaya itakosa mafuta na kubaki kumtegemea mrusi?