ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,604
Houthi ndo watege sea mine bila kuonekana hata na satellite?! Watege katikati ya bahari!!! Na ile Boti ya IRGC Je?!Kuwa na akili basi mkuu, alieshambulia meli ni haothi, Acha avivu fuatilia habari vizuri thn jiongeze, IRANI ANAOFANYA ANAVYOTAKA MASHARIKI YA KATI NA AKUNA NGURUE WA KUMGUSA
Halafu Iran ina uhusiano mzuri na Japan unadhani wangekubali hao Houthi washambulie meli za Japan wakati Shinzo yupo Iran.
Na kwann shambulio litokee wakati Abe yupo ziarani tena kwa meli ya Japan?!
Endelea kua gizani