Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

IRAN KWA SASA HAWEZI KUFUNGA MLANGO WA HORMUZ COZ BADO ANAENDELEZA BIASHARA YA KUUZA MAFUTA KAMA KAWAIDA, JUZI CHINA [emoji630] KAENDA KUCHUKUA MAFUTA NA MMELI WAKE UMEONEKANA, HUYO IRAN USIFANANIZE NA UPUUZI, HAO IZRAILI WAWAMALIZE HAMAS KWANZA
Anamuuzia Nani?! CHINA,leta ushahidi tuone?!
Wakati nchi zote zile 8 zilizositishiwa msamaha wa kununua mafuta ya Iran zimesitisha,labda unaizungumzia Tanzania ndo mnunuzi
 
Ata Tz haiwezi kununua pia coz wako under control mkuu
Anamuuzia Nani?! CHINA,leta ushahidi tuone?!
Wakati nchi zote zile 8 zilizositishiwa msamaha wa kununua mafuta ya Iran zimesitisha,labda unaizungumzia Tanzania ndo mnunuzi
 
Siyo kweli sema mmarekani ni mbabe tu.
Unaweza kunipa ushahidi kwamba China alikataa kumsaidia marekani? Marekani na China hazivii hata siku mmoja kama ulikmbia shule hautanielewa. Angalia kwenye Vita vya dunia 1 na 2 ndiyo utajua. nina zungumzia nini
Marekani hawezi kutoswa kama unafikiri Marekani anaakili sana na vita vyake anapigana kwa akili sana. Na Marekani ana marafiki wengi sana karibu dunia nzima.
 
Kwahiyo Zanzibar ni waarabu.
Wewe nawe wawapi?
Mwarabu akitawala hii dunia kutakuwa na machafuko mengi sana yaani wote watalazimishwa wawe waislamu, ukikataa unauwawa. Mfano mdogo angalia Zanzibar yaani mtu anakatazwa kula hata kama siyo imani yako. Yaani funga yako inanihusu nini mimi? Umefunga kutubu dhambi au umefunga kula?. Mimi naombea Iran ale kichapo cha mbwa koko yaani taifa lolote la kiarabu likija juu lifutiliwe mbali kabisa maana warabu ni watu wa ovyo sana na wameendekeza dini sana.
 
Anamuuzia Nani?! CHINA,leta ushahidi tuone?!
Wakati nchi zote zile 8 zilizositishiwa msamaha wa kununua mafuta ya Iran zimesitisha,labda unaizungumzia Tanzania ndo mnunuzi
Sjui unataka nn tena mkuu, ushahidi huo apo, alaf pia India na Turkey [emoji1250] wanaendelea kununua huko
Screenshot_20190614-203759.jpeg
 
Houthi ndo watege sea mine bila kuonekana hata na satellite?! Watege katikati ya bahari!!! Na ile Boti ya IRGC Je?!
Halafu Iran ina uhusiano mzuri na Japan unadhani wangekubali hao Houthi washambulie meli za Japan wakati Shinzo yupo Iran.
Na kwann shambulio litokee wakati Abe yupo ziarani tena kwa meli ya Japan?!
Endelea kua gizani
mwenye meli kasema wafanyakazi waliona 'flying objects' kabala kulipuka...na hakuna mines,machoko wa marekani wanang'ang'ania ni mines na video yao waliyoedit adobe
 
Uzi umepoteza maana kuna watoto wa kiume wanachambana humu, mara udini, ushoga, nk eti kisa vita ya kupiganishwa humu jamvini
 
TRAMP ANATAKA MAZUNGUMZO YARUDI KWENYE MEZA HUKO BAADA YA MELI ZA MAFUTA KUCHOMWA [emoji23][emoji23][emoji23], KUFELI KWENGINE
Screenshot_20190614-204627.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20190614-204647.jpeg
    Screenshot_20190614-204647.jpeg
    78.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20190614-204717.jpeg
    Screenshot_20190614-204717.jpeg
    80.7 KB · Views: 17
Kuna hali tete ndani ya jumba jeupe na wakuu wa usalama wa Taifa la marekan CIA pamoja na Mossad wanafanya analysis za mwisho tayari kuishambuli taifa la Iran.

Taifa za siri ambazo hazijawa rasm inasemeka waziri mkuu wa Japan yupo Iran na kama tunavyojuwa leo mwli mbil za mafuta zimeshambuliwa na moja wapo ni meli ya Japan. Inasemekana toripido zilizokuwa chini ya Bahari ndio zimeleta majanga na Iran waliwahi kama kufuta ushahidi.

Hata hivyo makomando wa Marekan walipata taarifa nakuwasuta Iran as if wanatoa msaada. Ila inasemekana kuna kazi walikuwa wakifanya. Ikumbukwe kuwa Iran walisha Sema vikwazo walivyo wekewa hawato kubali waumie wenyewe.

Tayari Rais wa Marekan Amesha pewa taarifa na lolote laweza kutokea kuanzia sasa. Inasemekana wanasubiri waziri mkuu wa Japan aondoke ndipo walianzishe pia tayari mataifa rafiki ya marekan kama Saud, na Eur bila msahau Israel wamesha nyanyuwa vichwa vya nyuklia kuelekea Iran.

Tuombee dunia maana yajayo ni mazito. Na Uwenda yakapandisha bei za mafuta kwa kiwango kikubwa sana.
Tafuta pesa Mtanzania, hizi habari za kahawani hazitakusaidia.
 
Back
Top Bottom