Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

Nakuona mkuu uko Washington Nini!!?[emoji23][emoji23]
 
Acha kupotosha!
Huyo Abe hakutumwa na Trump,alitaka mwenyewe kwenda Iran na nakumbuka Trump akasema anampa baraka zote. Pia Japan na Iran wamekua na uhusiano mzuri kwa muda mrefu, na Japan ni moja ya nchi inayonunua mafuta kwa kiasi kikubwa sana toka Iran

Abe pia anataka kukutana na Kim
 
Hivi mkuu hali ya vikwazo vya Iran vikiendela hivyo na ikafikia hatua ya kujiondoa kabisa, je hawatoweza kuunda silaha za Nuclear...?
Wakijiondoa wamekwisha maana ndo kitu Marekani inataka ili ipate kisingizio. Nakumbuka Putin aliisihi sana Iran isije kujaribu kutaka kujiondoa kwenye huo mkataba.
 
@kokuyo,kwanza trump alianza kuongea na uswizi na akatoa namba za simu ili iran wampigie wayaongee,iran wakakataa,akamwita king wa oman na kumwambia akaongee na iran ili wakae mezani,king akaenda iran,akaambiwa iran haiwezi kuongea na marekani huku imewekewa bastora kichwani,na wakataka marekani waache lugha za vitisho na kama maongezi yasiwe na condition ama presha,pompeo akasema ok wako tayari kuongea na iran bila yale mashariti kumi na mbili,kidogo marekani wakaweka tena vikwazo,iran wakasema marekani hana nia njema na maongezi,Trump akaaenda japan,akamtuma shinzo akaongee na iran ili wakae waongee,iran ikasema Trump siyo mtu honest na wala hana hadhi ya wao kumjibu na kuwa hawatarudia tena tabu ya kuongea na marekani sababu marekani haaminiki
 
We unajuaje au umekua waziri wa ulinzI pale kremlin?
Dah umeandika kama mtu wa darasa la tano F

Russia na Iran hawana mkataba wa ulinzi hivyo basi Russia hawezi kuingilia huo ugomvi labda saana atamuuzia silaha ndogo ndogo iran
 
Kwa rafiki yake gani kwa mfano?
Turkey?
Syria?
Venwzuela...taja washirika wako ambao wamepigwa akaangalia tu
Mrusi anapewa ukubwa sana lakini naona hana msaada kwa marafiki zake anasubili mpaka apigwe au akaushe referrence ni libya na syria
 
We umeuuaje kama hajatumwa au mpaka trump aseme amemtuma??
 
Ts called taste of your own medicine
Next time If you can take the heat get the F .u.c.k out the kitchen
Unajibu shombo ukijibiwa ww inauma eeh
Hongera
Nilijua mapema tu kuwa una akili finyu saana

Have nice dreams
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na kiduku yuko mkweli hataniwi anafanya kweli
 
Kaka analeta ujuaji mwingi huyo.
Then anaropoka tuu.
Kwan Kabla ya Us kuipiga iraq si alianza Iran ili kutaka kulinda interest yake ya mafuta ndio akashindwa?!
Au hilo hajaliona la miaka ya 80s USA and allies kushindwa kumpiga iran ili wabebe mafuta?!
[emoji23] [emoji23] ujuaji mwingine bhn Urusi ana kila kitu gesi mafuta na madini mbn marekani hasogez pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…