kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani