Marekani kuishambulia Iran ndo utakua mwisho wa taifa hilo!!

Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?

Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran

Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi

Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.

Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!

Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.

Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Hakuna siku umetoa UHARO kama huu umediriki kusema kuwa Israel na Marekani wanataka kuishambulia Iran kwa silaha za Nuclear ☢️ hapo umenionyesha wazi kuwa wewe ni mjinga na Mpumbavu ambaye hata hujui nini ya silaha za Nuclear kwa taarifa yako tu hakuna kitu kama kushambulia kwa kutumia silaha za nuclear.
Kuhusu hao vibaraka wa Iran hakuna kule Pesa macho cha moto wamekipata na sasa wameshalemazwa kila mmoja anaugulia maumivu kitandani hawana nyodo tena wanachechemea na wala usiseme Wame pun guza nguvu!!!
Iran yuko mbioni kupata silaha za nuclear na Hama hivyo vichwa unavyovisema wewe labda vichwa vya kuku tu.
Nakushangaa sana kuendelea kudanganya watu miaka hiyo yote kwa kisingizio Una chodzi wewe eti TAQIYYAH kijana acha uongo au dini yenu inawafundisha muwe waongo??
 
Muda wa Maayatollah kuua watu kienyeji huwa wamavaa magauni na shela unaenda ukingoni kabisa. Iran inahitaji ukombozi, akina Ayatollah wako pale kuendeleza vitendo vya kigaidi kupitia mgongo wa dini.
una shida kwenye ubongo wako,leta ushahidi wa ma ayatollah kuua watu
 
Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?

Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran

Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi

Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.

Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!

Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.

Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Mkuu una chuki na Israel.
 
Wothe mtulie maana hamjui mnalosema, mmekuwa kama watoto wadogo wanaojifunza vitu.
 
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Una uhakika?
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Hudhani tena😤🤔

Si umesema unatuambia😇
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari
Hujui tena😞

Sasa unatuambia nini wakati hujui
 
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Nilifikiri una uhakika na nguvu za Iran dhidi ya Marekani, kumbe ni mambo ya kudhani !
 
Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?

Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran

Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi

Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.

Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!

Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.

Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Iran huyu huyu rais wake aliuawa kama kuku kwenye helcopta na Israel mkasema ni ajali ndio amfute Marekani na vikombora vyake alivyovirusha Hadi Israel vikaishia kupanguliwa na vingine vikawa vinadondoka njiani
 
Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?

Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran

Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi

Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.

Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!

Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.

Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Kama hawawezi kuuwashinda wayemen hiyo iran wataiwwza kweli
 
Back
Top Bottom