Acha inyeshe tuone panapovuja...ila upande wangu naomba marekani na israel wagongwe ila sina uhakika na hiliHivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Wenzako wana mashushushu ndani ya jeshi la iran wewe upo kisiju huko unazani.wale ni wajinga, israel kashauwa wataalam wa nuclear wa iran kibao ushajiuliza anapata wapi data? We tuliaHivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Wew upo middle East sehemu gani?Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
More than funnyKwa Mpalange & Co; wana uwezo mkubwa wa kuchambua athari za vita duniani huko kuliko Pentagon na IDF! Funny!
Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Tema mate chini bro.hili swala limeiva sasa kitapigwa tu...duh mpaka naogopa.kuanzia 2010 mpaka 2015 nilisoma,kuishi nakufanya kazi nairobi,kuna bwana mmoja anaitwa david owour mwaka 2006 alianza kuwaambia wakenya....mnakwenda kuchinjana(kbc 2006) unaweza tazama alivyowatabiria na 2007 wakachinjana tena kwa namna ya ajabu.huyu mtu ametoa nabii nyingi kabla hazijatokea maana hua lazma arushe redion na kwa televishen na hakika nakwambia vinatokeaga vile vile(mfano mwingine ni.... Kuporomoka kwa uchumi 2008,haiti earthquake,,,the release of pale horse.yani kama hii ya huyu pale horse amekua akimtabiri kama miaka mi3 kabla hajatokea egypt mwaka 2011 you can youtube umuone farasi huyo).nimeona viwete wanatembea,viziwi wanasikia,vipofu wanaona na sio injili hio ya mwamposa na nabii wangu feki bg malisa.mkuu mwaka 2011 huyu david owour alianza kutabiri vita hii ya israel vs iran na anadai kua israel itapiga mtambo wa nuklia wa iran,ila anachonitisha ni kua anasisitiza kua vita hii ni lazima ipigwe afu unyakuo uliosemwa kwenye ufunuo unatokea.YAASHUA ANARUDI BILA SHAKA.Youtube unayo waweza hakiki nilichosema na ruksa kukosokewaSi Iran wala US wana mawazo hayo.
Je Pentagon wanapigania vita kwa Ajili Ya Maslahi ya Marekani ama Maslahi ya watu Binafsi? Kuna Watu hapo Marekani hata hilo taifa likipotea kwao sawa tu as long as wanapiga mpunga mrefu, siku zote vita hufaidisha watu wachache na sio majority kwenye nchi.Kwa Mpalange & Co; wana uwezo mkubwa wa kuchambua athari za vita duniani huko kuliko Pentagon na IDF! Funny!
Link ya YouTube mkuuTema mate chini bro.hili swala limeiva sasa kitapigwa tu...duh mpaka naogopa.kuanzia 2010 mpaka 2015 nilisoma,kuishi nakufanya kazi nairobi,kuna bwana mmoja anaitwa david owour mwaka 2006 alianza kuwaambia wakenya....mnakwenda kuchinjana(kbc 2006) unaweza tazama alivyowatabiria na 2007 wakachinjana tena kwa namna ya ajabu.huyu mtu ametoa nabii nyingi kabla hazijatokea maana hua lazma arushe redion na kwa televishen na hakika nakwambia vinatokeaga vile vile(mfano mwingine ni.... Kuporomoka kwa uchumi 2008,haiti earthquake,,,the release of pale horse.yani kama hii ya huyu pale horse amekua akimtabiri kama miaka mi3 kabla hajatokea egypt mwaka 2011 you can youtube umuone farasi huyo).nimeona viwete wanatembea,viziwi wanasikia,vipofu wanaona na sio injili hio ya mwamposa na nabii wangu feki bg malisa.mkuu mwaka 2011 huyu david owour alianza kutabiri vita hii ya israel vs iran na anadai kua israel itapiga mtambo wa nuklia wa iran,ila anachonitisha ni kua anasisitiza kua vita hii ni lazima ipigwe afu unyakuo uliosemwa kwenye ufunuo unatokea.YAASHUA ANARUDI BILA SHAKA.Youtube unayo waweza hakiki nilichosema na ruksa kukosokewa
Nikajua una intel ya maana, kumbe unabii wa mchangisha sadaka,Tema mate chini bro.hili swala limeiva sasa kitapigwa tu...duh mpaka naogopa.kuanzia 2010 mpaka 2015 nilisoma,kuishi nakufanya kazi nairobi,kuna bwana mmoja anaitwa david owour mwaka 2006 alianza kuwaambia wakenya....mnakwenda kuchinjana(kbc 2006) unaweza tazama alivyowatabiria na 2007 wakachinjana tena kwa namna ya ajabu.huyu mtu ametoa nabii nyingi kabla hazijatokea maana hua lazma arushe redion na kwa televishen na hakika nakwambia vinatokeaga vile vile(mfano mwingine ni.... Kuporomoka kwa uchumi 2008,haiti earthquake,,,the release of pale horse.yani kama hii ya huyu pale horse amekua akimtabiri kama miaka mi3 kabla hajatokea egypt mwaka 2011 you can youtube umuone farasi huyo).nimeona viwete wanatembea,viziwi wanasikia,vipofu wanaona na sio injili hio ya mwamposa na nabii wangu feki bg malisa.mkuu mwaka 2011 huyu david owour alianza kutabiri vita hii ya israel vs iran na anadai kua israel itapiga mtambo wa nuklia wa iran,ila anachonitisha ni kua anasisitiza kua vita hii ni lazima ipigwe afu unyakuo uliosemwa kwenye ufunuo unatokea.YAASHUA ANARUDI BILA SHAKA.Youtube unayo waweza hakiki nilichosema na ruksa kukosokewa
π π πKwa Mpalange & Co; wana uwezo mkubwa wa kuchambua athari za vita duniani huko kuliko Pentagon na IDF! Funny!
Hachangishi sadaka nimehudhuria nakuhakishiaNikajua una intel ya maana, kumbe unabii wa mchangisha sadaka,
Kwanza nikwambie, hamna cha vita ya Nuclear wala kufutiliwa mbali kwa Taifa la Marekani kama Super Power. Ukweli kuwa Agenda ya Waislamu wa Iran ni kuiangamiza Israel na Wayahudi, hiyo inafanya wao kushindwa kwenye mtanange huo. TUPO HAPA UTATUAMBIA; ingawa nyinyi islamists baada ya hapo huja na Taqqya yenu.Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Washaua na Rais wao kwa ajali fake ya helicopterWenzako wana mashushushu ndani ya jeshi la iran wewe upo kisiju huko unazani.wale ni wajinga, israel kashauwa wataalam wa nuclear wa iran kibao ushajiuliza anapata wapi data? We tulia