Marekani kuishambulia Iran ndo utakua mwisho wa taifa hilo!!

wafia dini Kwa mpalange mnajua kuchambua vita kuliko USA wenyewe
 
Wana genes za kicolon so acha waswagane sis 2skilizie milio.
 
Kwa Mpalange & Co; wana uwezo mkubwa wa kuchambua athari za vita duniani huko kuliko Pentagon na IDF! Funny!
Hao pentagon mbona hawakutabili kuwa wangepigwa kipigo kibaya kabla ya kuivamia Vietnam?
 
Hii analysis wameshinda kabsa kufanya CIA na MOSSAD? wenye weredi wa mafunzo ya kazi hii. Umewazidi hadi wewe uliye kusini mwa jangwa la Sahara mkoa LINDI sijui wilaya ya Nanyumbu unayetumia sigida yako tu usoni kutabili kama siyo kuombea hayo yatokee
 
Sisi tunajua Israel ndio Kapigwa Ushaid upo !!!! Sasa ww ukiwa unadai IRAN kapigwa tupe Ushaid punguzeni Uwongo
 
hakuna nchi inayoweza kuangamiza taifa lingine duniani,historia haijatupa mfano huo
 
Evaluation ya vita kwa misingi ya kiroho kule tandaleni anyway!
 
Mbona hao CIA hawakuweza kujua kuwa iwapo Marekani ikijiingiza kwenye vita ya Vietnam wangekumbana na kipigo kibaya na cha aibu, au ww una dhani hao CIA wangejua kinacho enda kuwakuta Marekani angethubutu kujiingiza kwenye vita ya Uvietnam?
Au mbona wali shindwa kujua kuwa hawataweza kuishinda Talban kabla ya kuivamia Afghanistan ?
Hao si CIA na sijui Mosad nao ni binadamu kama ww wanafanya makosa pia.
 
Vichwa 10 kwa kushindana na vichwa zaidi ya 10.
 
Muda wa Maayatollah kuua watu kienyeji huwa wamavaa magauni na shela unaenda ukingoni kabisa. Iran inahitaji ukombozi, akina Ayatollah wako pale kuendeleza vitendo vya kigaidi kupitia mgongo wa dini.
 
Unaambiwa hata putin na xi hawataki ila wanafosiwa kuvipiga vita vya kinuklia kwa ajili ya manufaa ya wenye nguvu,si kwa faida ya marekani ila kwa ajili ya new world order
 
Kwa Mpalange & Co; wana uwezo mkubwa wa kuchambua athari za vita duniani huko kuliko Pentagon na IDF! Funny!
pentagon ishafeli mambo mengi tu yanayohusu vita...
 
Yaani wewe mkazi wa Kimara Korogwe ujue kuwa Iran ana nyuklia halafu USA asijue??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…