Hakuna siku umetoa UHARO kama huu umediriki kusema kuwa Israel na Marekani wanataka kuishambulia Iran kwa silaha za Nuclear ☢️ hapo umenionyesha wazi kuwa wewe ni mjinga na Mpumbavu ambaye hata hujui nini ya silaha za Nuclear kwa taarifa yako tu hakuna kitu kama kushambulia kwa kutumia silaha za nuclear.Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Safari hii Mtanyooka tu!!Trump atatulia tu, walikuwepo kina Walter Bush wakapita.
Wanataka kuwasaidia iran wawahi bikra zao huko
View attachment 3295285
una shida kwenye ubongo wako,leta ushahidi wa ma ayatollah kuua watuMuda wa Maayatollah kuua watu kienyeji huwa wamavaa magauni na shela unaenda ukingoni kabisa. Iran inahitaji ukombozi, akina Ayatollah wako pale kuendeleza vitendo vya kigaidi kupitia mgongo wa dini.
Mkuu una chuki na Israel.Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Una uhakika?Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Hudhani tena😤🤔Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Hujui tena😞Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari
Hata mafunzo ya mgambo hawayajuiKwa Mpalange & Co; wana uwezo mkubwa wa kuchambua athari za vita duniani huko kuliko Pentagon na IDF! Funny!
Nilifikiri una uhakika na nguvu za Iran dhidi ya Marekani, kumbe ni mambo ya kudhani !Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Iran huyu huyu rais wake aliuawa kama kuku kwenye helcopta na Israel mkasema ni ajali ndio amfute Marekani na vikombora vyake alivyovirusha Hadi Israel vikaishia kupanguliwa na vingine vikawa vinadondoka njianiHivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?
Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran
Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka maana sahivi proxies wa Iran ni kama wamepunguzwa nguvu hivi
Ila nawaambieni ukweli, hii vita itapelekea mwisho wa ukuu wa taifa la Marekani kiuchumi duniani.
Shambulizi lolote la US dhidi ya Iran itakua ni kupiga kipenga cha maangamizi ya kambi na maslahi yote ya marekani na Israel middle East nzima!!
Sidhani kama iran wanaweza kuwa wajinga hadi sasa wasiwe na nyuklia weapons ripoti zinadai jamaa wana vichwa kama 10 hivi lakini hawawezi kutangaza.
Sasa kwa Israel nao sijui itakuaje maana sera yake ya Nyuklia ni kuwa "bora tufe wote" jamaa wapo tayari hata kurusha nyuklila Ulaya na wao kujilipua ili tu wasife wenyewe ni miongoni mwa kinchi kaovyo kuwahi kutokea duniani
Kama hawawezi kuuwashinda wayemen hiyo iran wataiwwza kweliHivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi?