Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani.
Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani.
Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China ikitamba kama Taifa kubwa kiuchumi wakati haitoi pesa ya maana katika jumuiya za kimataifa.
Ngoja tuone China kama ataingia kwenye huu mtego wa kubeba gharama ili kulinda heshima yake.