Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Bw Trump ana moyo wa kushtukashtuka kama baadhi ya viongozi wetu.
He doesn't care kwamba mchango wa Marekani huko WHO unazifikia nchi za dunia ya tatu ie Tanzania.
Kujiuliza, je zile dawa kama za HIV na Malaria are we going to get them free?, and what's impact if we didn't get it?
Trump kasema hata watoto wa wakimbizi au walowezi wa huko Marekani hawatapata uraia, it's bad news pia.
Kwa Trump dunia itamshangaa
Mchina ana uchumi mkubwa, mchina anatibia raia wake with local medicines, hajali kitu.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.