Huyo marekani kisha elemewa kiuchumi, kila mwaka serikali inafikia kufunga shughuli zake kwa upungufu wa bajeti mpaka congress ikubali wapandishe zaidi kiwango Cha deni lao Ili wakope.Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani.
Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani.
Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China ikitamba kama Taifa kubwa kiuchumi wakati haitoi pesa ya maana katika jumuiya za kimataifa.
Ngoja tuone China kama ataingia kwenye huu mtego wa kubeba gharama ili kulinda heshima yake.
Wacha weeeeeh.......🤣🤣Huyo marekani kisha elemewa kiuchumi, kila mwaka serikali inafikia kufunga shughuli zake kwa upungufu wa bajeti mpaka congress ikubali wapandishe zaidi kiwango Cha deni lao Ili wakope.
Mchina Hana mambo ya kijinga ya ushindani au siku zote kujiingiza kwenye vita. Yeye ni kazi tu na biashara.
Kazi za WHO has nothing to with US and China politics.Huyo marekani kisha elemewa kiuchumi, kila mwaka serikali inafikia kufunga shughuli zake kwa upungufu wa bajeti mpaka congress ikubali wapandishe zaidi kiwango Cha deni lao Ili wakope.
Mchina Hana mambo ya kijinga ya ushindani au siku zote kujiingiza kwenye vita. Yeye ni kazi tu na biashara.
Marekani kwa sasa ina upungufu wa watu wanaofaa kuwaongoza.Bw Trump ana moyo wa kushtukashtuka kama baadhi ya viongozi wetu.
He doesn't care kwamba mchango wa Marekani huko WHO unazifikia nchi za dunia ya tatu ie Tanzania.
Kujiuliza, je zile dawa kama za HIV na Malaria are we going to get them free?, and what's impact if we didn't get it?
Trump kasema hata watoto wa wakimbizi au walowezi wa huko Marekani hawatapata uraia, it's bad news pia.
Kwa Trump dunia itamshangaa
Mchina ana uchumi mkubwa, mchina anatibia raia wake with local medicines, hajali kitu.
Umeandika pumbaWivu unakusumbua.