Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China


Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
 
Hii ndio shida ya kukaa tu na kutegemea vya bure halafu mtu asipokusaidia unaanza kumponda kama vile ni lazima akusaidie.

Waafrika kadri tutakavyo endelea kuwa na watawala wa hovyo kama hawa tulionao, maana yake ni kwamba tutaendelea kuteseka sana katika dunia hii na tutaendelea kulaumu watu kama Trump kwa ujinga wetu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…