Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nimatatizo yenu yeye haya muhusu... mchina anafadhili vitu vya ajabu ajabu barani Afrika. Tawala mbovu Afrika; tawala zisizojua kwanini zipo madaraka; tawala zilizodumu miaka na miaka; tawala za kurithishana madaraka kana kwamba ni falme zimedumu Afrika kwa mgongo au ufadhili au ulinzi wa China kwa namna moja au nyingine. Hilo ni mojawapo.
Huku Mmarekani akileta demokrasia yake makini kabisa kule Libya,Iraq,Syria na kwa sasa kuna amani kuliko kipindi chochote kile tangu mataifa hayo yaumbwe.... mchina anafadhili vitu vya ajabu ajabu barani Afrika. Tawala mbovu Afrika; tawala zisizojua kwanini zipo madaraka; tawala zilizodumu miaka na miaka; tawala za kurithishana madaraka kana kwamba ni falme zimedumu Afrika kwa mgongo au ufadhili au ulinzi wa China kwa namna moja au nyingine. Hilo ni mojawapo.
... hapo ndipo unapokosea.Nimatatizo yenu yeye haya muhusu
SAUDIA inafadhiliwa nanani
QATAR inafadhiliwa nanani
UAE inafadhiliwa nanani
Hamjui hata mnachokipinga kumbe ...
Nieleweshe wap nakwanini nakosea ?!... hapo ndipo unapokosea.
Silipwi nikiandika vizuri ujuwe una matatizo Sana sema hujijuwi!Hata kuandika hujui kweli ndio ujilinganishe na mimi?
Kajifunze kuandika vizuri kwanza ndio uje tujadiliame
HahaaHuku Mmarekani akileta demokrasia yake makini kabisa kule Libya,Iraq,Syria na kwa sasa kuna amani kuliko kipindi chochote kile tangu mataifa hayo yaumbwe.
Huo ubavu wakumkataa UCHINA hatahaonwanaojiona mabanwa wadunia hawawezi itakua wewe wahuko kusini mwajangwa lasahara MKUU ?!.Dunia nzim atungefanya kampeni ya kimkataa mchina maana anaishi kwa janja na ukandamizaji especially kwenye nchi za Africa
Kwenye ugomvi wa Usa na China kuna kitu hua sikielewi na hua hakiongelewi zaidi hua naona ushabiki tu wa wanazi wa mataifa haya hapa jukwaani. Hii mivutano hua ina athari gani kwa Tanzania. Yaani let say Usa anamuwekea vikwazo China, watz tunaofurahia hua tunafaidika na kipi hapa ila pia China akijibu vikwazo au akianza kumuwekea vikwazo Us watz tunaofurahia hua inafaida gani kwetu? Naomba kujua faida na hasara direct/indirect za hii mivutano ya kiuchumi kati ya Us na China.
Asanteni
Kama Marekani na George FloydMimi siiipendi China kwa sababu amekuwa Mkoloni hatari na Muuwaji
IRAN wanaolia lia kwasababu ya US mmewazidi kipi ?!China inanyongwa na kufa aiseee.. Chinese businesses inside & outside US zitadorora sana, maana Huawei imepigwa ngeu kubwa mbaya sana worldwide, US akiamua utapotea aisee, unaona Iran pamoja mafuta yooote na Natural Gas bado wanalia lia kila siku, wanahitaji soft loans toka WB & IMF hawapati, sanctions bite hardest, US baba lao
US ndio malaika sio muuwaji wala mkolono khatar ?!.Mimi siiipendi China kwa sababu amekuwa Mkoloni hatari na Muuwaji
Wacha tumpe moyo tuu huyu Mgonjwa, maana kiherehere kazidi...[emoji851]Bado mjonjwa anajipa matumaini ya kupona wakati Ini limesha kufa!
Kama Jiwe na Lisu,Azory na Saa8Kama Marekani na George Floyd