Marekani kuondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko yake ya hisa kwa kukiuka masharti ya CAG wa Marekani

Marekani kuondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko yake ya hisa kwa kukiuka masharti ya CAG wa Marekani

... mchina anafadhili vitu vya ajabu ajabu barani Afrika. Tawala mbovu Afrika; tawala zisizojua kwanini zipo madaraka; tawala zilizodumu miaka na miaka; tawala za kurithishana madaraka kana kwamba ni falme zimedumu Afrika kwa mgongo au ufadhili au ulinzi wa China kwa namna moja au nyingine. Hilo ni mojawapo.
Nimatatizo yenu yeye haya muhusu

SAUDIA inafadhiliwa nanani
QATAR inafadhiliwa nanani
UAE inafadhiliwa nanani

Hamjui hata mnachokipinga kumbe ...
 
Huku Mmarekani akileta demokrasia yake makini kabisa kule Libya,Iraq,Syria na kwa sasa kuna amani kuliko kipindi chochote kile tangu mataifa hayo yaumbwe.
 
Nimatatizo yenu yeye haya muhusu

SAUDIA inafadhiliwa nanani
QATAR inafadhiliwa nanani
UAE inafadhiliwa nanani

Hamjui hata mnachokipinga kumbe ...
... hapo ndipo unapokosea.
 
Hata kuandika hujui kweli ndio ujilinganishe na mimi?

Kajifunze kuandika vizuri kwanza ndio uje tujadiliame
Silipwi nikiandika vizuri ujuwe una matatizo Sana sema hujijuwi!
Screenshot_20200715_113525.jpg

Ujuwe we ni kim, kama k'ma wengine huko maporini!
 
Vikwazo vya makampuni
Zengwe Hong Kong
Zengwe South China Sea
Kweli marekani kaamua, mchina Kila siku anasema atalipa kisasi Ila yupo kimya mpaka anatukera sisi wapenda vurugu
Nalog off
 
Dunia nzim atungefanya kampeni ya kimkataa mchina maana anaishi kwa janja na ukandamizaji especially kwenye nchi za Africa
Huo ubavu wakumkataa UCHINA hatahaonwanaojiona mabanwa wadunia hawawezi itakua wewe wahuko kusini mwajangwa lasahara MKUU ?!.
 
China inanyongwa na kufa aiseee.. Chinese businesses inside & outside US zitadorora sana, maana Huawei imepigwa ngeu kubwa mbaya sana worldwide, US akiamua utapotea aisee, unaona Iran pamoja mafuta yooote na Natural Gas bado wanalia lia kila siku, wanahitaji soft loans toka WB & IMF hawapati, sanctions bite hardest, US baba lao
 
Kwenye ugomvi wa Usa na China kuna kitu hua sikielewi na hua hakiongelewi zaidi hua naona ushabiki tu wa wanazi wa mataifa haya hapa jukwaani. Hii mivutano hua ina athari gani kwa Tanzania. Yaani let say Usa anamuwekea vikwazo China, watz tunaofurahia hua tunafaidika na kipi hapa ila pia China akijibu vikwazo au akianza kumuwekea vikwazo Us watz tunaofurahia hua inafaida gani kwetu? Naomba kujua faida na hasara direct/indirect za hii mivutano ya kiuchumi kati ya Us na China.
Asanteni

Mimi siiipendi China kwa sababu amekuwa Mkoloni hatari na Muuwaji
 
China inanyongwa na kufa aiseee.. Chinese businesses inside & outside US zitadorora sana, maana Huawei imepigwa ngeu kubwa mbaya sana worldwide, US akiamua utapotea aisee, unaona Iran pamoja mafuta yooote na Natural Gas bado wanalia lia kila siku, wanahitaji soft loans toka WB & IMF hawapati, sanctions bite hardest, US baba lao
IRAN wanaolia lia kwasababu ya US mmewazidi kipi ?!

UCHINA hasimamishiki tena suala lamuda tu tuuombe uzima na uhai wake.....
 
Back
Top Bottom