Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nimatatizo yenu yeye haya muhusu... mchina anafadhili vitu vya ajabu ajabu barani Afrika. Tawala mbovu Afrika; tawala zisizojua kwanini zipo madaraka; tawala zilizodumu miaka na miaka; tawala za kurithishana madaraka kana kwamba ni falme zimedumu Afrika kwa mgongo au ufadhili au ulinzi wa China kwa namna moja au nyingine. Hilo ni mojawapo.
SAUDIA inafadhiliwa nanani
QATAR inafadhiliwa nanani
UAE inafadhiliwa nanani
Hamjui hata mnachokipinga kumbe ...