Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma

Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

Source: BBC
 
wanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,

Wingereza ilivyo collapse wale wazungu waliokua british ndio hao walio marekani ndio maana jambo la marekani na Uk huwa ni moja.

wanaonyesha russia c kitu ila toka kitambo russia anajitosheleza kwa kila kitu hana shida hata ya kufanya exploitation au kushawishi mataifa yawe upande wake kama marekani.
 
.super power wa mchongo ata uza wapi gas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMAREKANI mjanja sanaaaa... anaenda kuwa fanya wa ulaya watumwa, amewachochea wapigane na mrusi ili wanyimane gas alafu yeye ana wapelekea ili awatumie vyema...

trump alisema wana weka pesa nyingi sana na wana taka kuona usa ina nufaika kila sehemu wanapo peleka pesa... mmarekani mzee wa fursa... kapigana na waarabu weeee kisa mafuta, leo anaingia ktk gas
 
Sasa hii ndio sababu kuu ya ile vita. Walitaka kuliteka soko la gas ulaya. Lakini jambo moja ambalo marekani hatoweza kufanya ni consistency of supply na price. Wanategemea meli kusafirisha gas wakati Russian gas is cheap na supply is consistent and stable.

Mgogoro mkubwa ulianza Nord steam 2 ilipoanza kujengwa.
 
Ulaya hawana jinsi lazima wakubali kutoa kafara kwa kununua gesi ya Marekani potelea mbali hata bei iwe juu kidogo lkn lengo la kummaliza Russia kiuchumi litimie.

Kwa sababu hawawezi kumpa mrussia pesa halafu azitumie kuwageuzia tena kuwa mateka ila wakishambana kwenye kuuza nishati na kwenye mfumo wa malipo wa SWIFT basi Russia itakuwa ni kwaheri.

For Europe, that will be the risk worth taking and the Russian economy will be heavily crippled something whose effect will make sweeping political change in Russia completely inevitable.
 
Gas itasafirishwa kwa meli, hii ni kupunguza tatizo lakini inabidi waiuze kwa gharama ili kupata faida.

Usafirishaji wa gas kwa njia ya meli ni gharama, gas itapanda bei mno, huwezi shindana na mtu ana bomba.

Uchumi wa ulaya unakwenda kudorora, gas ya Russia ni nafuu.

US itanyoosha mikono tu, hii vita ni ngumu.

Kuweka bomba la gas kutoka USA sijui itachukua karne ngapi.
 
Ulaya hawana jinsi lazima wakubali kutoa kafara kwa kununua gesi ya Marekani potelea mbali hata bei iwe juu kidogo lkn lengo la kummaliza Russia kiuchumi litimie.

Kwa sababu hawawezi kumpa mrussia pesa halafu azitumie kuwageuzia tena kuwa mateka ila wakishambana kwenye kuuza nishati na kwenye mfumo wa malipo wa SWIFT basi Russia itakuwa ni kwaheri.

For Europe, that will be the risk worth taking and the Russian economy will be heavily crippled something whose effect will make sweeping political change in Russia completely inevitable.
The Rise of CHINA
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Sasa hii ndio sababu kuu ya ile vita. Walitaka kuliteka soko la gas ulaya. Lakini jambo moja ambalo marekani hatoweza kufanya ni consistency of supply na price. Wanategemea meli kusafirisha gas wakati Russian gas is cheap na supply is consistent and stable.

Mgogoro mkubwa ulianza Nord steam 2 ilipoanza kujengwa.
Ile Nord stream 2 inakadiriwa ingeweza kusambaza gesi Ulaya yote kwa zaidi ya 90%, USA kastuka kuwa anaenda kupinduliwa kiuchumi na CHINA sababu ya ushindani na RUSSIA kibiashara Ulaya, hivyo akaona kama noma na iwe noma kuisambaratisha Russia kiuwekezaji akiitumia Ukraine dampo la vita ilimradi maslahi yake yapate kustawi badala ya Russia.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom