Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
endelea kuotaRussia hata afanyeje anashuka daraja anakuja kucheza na sisi ligi ya mchangani. Alijifanya mtemi sasa anakufa kiofisa na tai shingoni.😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
endelea kuotaRussia hata afanyeje anashuka daraja anakuja kucheza na sisi ligi ya mchangani. Alijifanya mtemi sasa anakufa kiofisa na tai shingoni.😀😀😀
Mkuu kila bidhaa itapanda bei mno.Mchina uwanja ni wake.......gharama za uzalishaji kwa viwanda vya ulaya itakua kubwa sana kuliko kwa wavimba macho
HahahaWazee wa Fursa!
Marekani ndio nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa gesi Ikifuatiwa na Urusiwanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,
Tuliwambia humu Putinism marekani amewekeza katika hii dunia muda mrefu sanaa., hizo takataka za russia sasa hazina maana tnKuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.
Source: BBC
Russia ndio nchi yenye reserve kubwa ya gesi duniani, uzalishaji unategemea reserve uliyonayo. Muda si mrefu reserve ya Marekani itashuka kwa kulazimisha supply wasiyoweza kuimudu hapo ndio ulaya watarudi kwa Putin mikono nyuma wakisema TUMEKOSA TUMEKOSA SANA TUHURUMIEMarekani ndio nchi inayoongoza duniani kwa uzalishaji wa gesi Ikifuatiwa na Urusi
Hata ku Google umeshindwa kabla kubishiaR
Umejuaje au na wewe ni CIA wa huko bonyokwaHili ndilo lengo la vita sasa. CIA ndio wanaratibu vita nchini Russia.
Hiyo reserve ya US kwisha ni baada si chini ya Miaka 400 ijayo kwa kupiga current production ya sasa ikihusisha na hiyo wanayouzia UlayaRussia ndio nchi yenye reserve kubwa ya gesi duniani, uzalishaji unategemea reserve uliyonayo. Muda si mrefu reserve ya Marekani itashuka kwa kulazimisha supply wasiyoweza kuimudu hapo ndio ulaya watarudi kwa Putin mikono nyuma wakisema TUMEKOSA TUMEKOSA SANA TUHURUMIE
Exactly, kupata hela! Victims wao Ukrainians!Hao watu lao moja
Kwahiyo ulaya na marekani hayo hawayajui?Russia ndio nchi yenye reserve kubwa ya gesi duniani, uzalishaji unategemea reserve uliyonayo. Muda si mrefu reserve ya Marekani itashuka kwa kulazimisha supply wasiyoweza kuimudu hapo ndio ulaya watarudi kwa Putin mikono nyuma wakisema TUMEKOSA TUMEKOSA SANA TUHURUMIE
Na wataongeza uzalishaji, ATA kuiba gesi nchi za watuHiyo reserve ya US kwisha ni baada si chini ya Miaka 400 ijayo kwa kupiga current production ya sasa ikihusisha na hiyo wanayouzia Ulaya
Kwa hiyo waweza fidia hiyo gap ya Russia kwa Miaka 400 ijayo labda useme baada ya hiyo miaka 400