johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
NcHale imeanza kuwa Dunga vichwani ehhKuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.
Source: BBC
.super power wa mchongo ata uza wapi gaswanazitolea wapi basi kumiliki vyombo vya habari tutadanganywa mpaka tukome,
Wingereza ilivyo collapse wale wazungu waliokua british ndio hao walio marekani ndio maana jambo la marekani na Uk huwa ni moja.
wanaonyesha russia c kitu ila toka kitambo russia anajitosheleza kwa kila kitu hana shida hata ya kufanya exploitation au kushawishi mataifa yawe upande wake kama marekani.
The Rise of CHINAUlaya hawana jinsi lazima wakubali kutoa kafara kwa kununua gesi ya Marekani potelea mbali hata bei iwe juu kidogo lkn lengo la kummaliza Russia kiuchumi litimie.
Kwa sababu hawawezi kumpa mrussia pesa halafu azitumie kuwageuzia tena kuwa mateka ila wakishambana kwenye kuuza nishati na kwenye mfumo wa malipo wa SWIFT basi Russia itakuwa ni kwaheri.
For Europe, that will be the risk worth taking and the Russian economy will be heavily crippled something whose effect will make sweeping political change in Russia completely inevitable.
Russia hata afanyeje anashuka daraja anakuja kucheza na sisi ligi ya mchangani. Alijifanya mtemi sasa anakufa kiofisa na tai shingoni.πππThe Rise of CHINA
RUSSIA sio ZIMBABWE
Ile Nord stream 2 inakadiriwa ingeweza kusambaza gesi Ulaya yote kwa zaidi ya 90%, USA kastuka kuwa anaenda kupinduliwa kiuchumi na CHINA sababu ya ushindani na RUSSIA kibiashara Ulaya, hivyo akaona kama noma na iwe noma kuisambaratisha Russia kiuwekezaji akiitumia Ukraine dampo la vita ilimradi maslahi yake yapate kustawi badala ya Russia.Sasa hii ndio sababu kuu ya ile vita. Walitaka kuliteka soko la gas ulaya. Lakini jambo moja ambalo marekani hatoweza kufanya ni consistency of supply na price. Wanategemea meli kusafirisha gas wakati Russian gas is cheap na supply is consistent and stable.
Mgogoro mkubwa ulianza Nord steam 2 ilipoanza kujengwa.