ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kwa hiyo silaha za Urusi zina tengenezwa kwa pesa za kuokota barabarani na sio kodi za wanachi?Unajua maana ya unveiling? Ni kutangazia umma uwepo wa kitu kwa mara ya kwanza, uzinduzi. Zile ni pesa za walipakodi wa Marekani na wanatangaziwa mzigo mpya ulioundwa. Wewe ukiona ukakasirika ni kiherehere chako Marekani haijakutangazia wewe na kwa taarifa yako hizi ndege haziuzwi. Marekani huwa haiuzi bombers, haikuuza B-52 Stratofortress, haikuuza B1 Lancer, haikuuza B-2 Spirit na hii B-21 Raider haitouzwa.