Kwa hiyo silaha za Urusi zina tengenezwa kwa pesa za kuokota barabarani na sio kodi za wanachi?Unajua maana ya unveiling? Ni kutangazia umma uwepo wa kitu kwa mara ya kwanza, uzinduzi. Zile ni pesa za walipakodi wa Marekani na wanatangaziwa mzigo mpya ulioundwa. Wewe ukiona ukakasirika ni kiherehere chako Marekani haijakutangazia wewe na kwa taarifa yako hizi ndege haziuzwi. Marekani huwa haiuzi bombers, haikuuza B-52 Stratofortress, haikuuza B1 Lancer, haikuuza B-2 Spirit na hii B-21 Raider haitouzwa.
Sasa Urusi auze long range bomber gani. Ana Tu-160 hauzi, Tu-22 hauzi na Su-70 Okhotnik iko kwenye developmentKwa hiyo silaha za Urusi zina tengenezwa kwa pesa za kuokota barabarani na sio kodi za wanachi?
Mkuu hatijaongelea kuuza ww umesema Marekani ametangaza ili wamarekani waone kodi zao zinavyo tumika.Sasa Urusi auze long range bomber gani. Ana Tu-160 hauzi, Tu-22 hauzi na Su-70 Okhotnik iko kwenye development
Comment 48# Kutoka kwa ITR inajibu yoteUnajua maana ya unveiling? Ni kutangazia umma uwepo wa kitu kwa mara ya kwanza, uzinduzi. Zile ni pesa za walipakodi wa Marekani na wanatangaziwa mzigo mpya ulioundwa. Wewe ukiona ukakasirika ni kiherehere chako Marekani haijakutangazia wewe na kwa taarifa yako hizi ndege haziuzwi. Marekani huwa haiuzi bombers, haikuuza B-52 Stratofortress, haikuuza B1 Lancer, haikuuza B-2 Spirit na hii B-21 Raider haitouzwa.
Huku ndo kutangaza sasaMkuu hatijaongelea kuuza ww umesema Marekani ametangaza ili wamarekani waone kodi zao zinavyo tumika.
Ila Urusi akionesha mnasema anajionesha na kujitangaza.
Ili waishushe chapPitisheni pale Iran kwanza
Asubuhi tuIli waishushe chap
Urusi inabeba silaha inapeleka uwanjani kuonyesha na kupigisha gwaride. Silaha hata za 1970s wanabeba kila mwaka kuzionyesha, hiyo B-21 hutokaa uione tena mbele ya umati ikitangazwaMkuu hatijaongelea kuuza ww umesema Marekani ametangaza ili wamarekani waone kodi zao zinavyo tumika.
Ila Urusi akionesha mnasema anajionesha na kujitangaza.