#COVID19 Marekani: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapinga chanjo ya Covid-19 ya Johnson & Johnson

#COVID19 Marekani: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapinga chanjo ya Covid-19 ya Johnson & Johnson

Hawa hawa Johnson and Johnson waliotengeneza powder yao inayoleta cancer ndio wameleta na chanjo nani atawaamini
 
Una uhakika yeye Rais hajapigwa chanjo ya Covid-19 hadi sasa??..
Hajachoma chanjo, by simple thought process.

Mzungu (Mjerumani, USA, UK) asingekubali kumpa JPM chanzo moja kisiri siri.

Mtu ambae anawachana na kuwabeza na chanjo yao, na amewaambia wanafanya matendo ambayo wanyama hawafanyi, angeomba chanjo yao CIA/MI5/MOSAD wangejua na wangeshamuanika.

China on the other hand wametangaza, as of yesterday, marais waliochoma chanjo yao: Uturuki, UAE, Egypt, Shelisheli, Bahrain and Indonesia. JPM hayumo. Unaweza kusema amewaomba wamhifadhi. Sidhani.

National media ya China inamuuliza President Xi, kwa nini mnatupa chanjo ambayo nyinyi wenyewe viongozi hamjachoma? As of yesterday, Ikulu ya China kimya.

Magufuli, of all the people, hawezi kuchoma chanjo ya China ambayo President Xi wa China anaigopa kuchoma!

Sputnik vaccine from Russia? Russians wenyewe wamegoma kuinywa. You tell me if Magu is injecting himself with that jazz.

Wazungu walipokuja Afrika hatukuwa na chanjo, na ma pandemic yalikuwepo, mbona hatukuwa extinct kabla hawajaja ???? We good!
 
Kiongozi wao mkubwa yuko nchi za kiislam hana barakoa, wanataka kusema hajachanjwa.

Hata vidonge tu zamani walikuwa wanasema vinatengenezwa na ubongo wa mtu.

Walete chanjo mtu akitaka atumie imani yake ikimkataza na asitumie.
 
Back
Top Bottom