Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sasa mbona unajifanya una uchungu sana kuliko hata wayahudi wenyewe? Huku Israeli kwenyewe wanaandamana ajabu wewe mgogo wa mpwapwa unapinga maandamano haujishangai🤣🤣Kwa nini utukane?
Hao waandamanaji mbona hawakuqndamana 07/10 kupinga yale mauaji ya watu wasiokuwa na hatia?
Mbona vyuo vikuu vya ulimwengu wa kiarabu hawaandamani?
Ni hayo tuu Maalim