Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Sasa kwanini wasiwe wanakimbilia oman,iran,saudi arabia ila wao wanakimbilia kwa mabeberu,Kama ushangai hizo nchi za Kiarabu Marekani ndiyo kazileta machafuko utakuwa punguani kama Libya, Iraq, Syria, zilkuwa zimetulia.