Marekani: Migomo kwa Palestina yasambaa kama moto wa nyika!

Marekani: Migomo kwa Palestina yasambaa kama moto wa nyika!

Israeli haiwezi iachia Rafah bila kuishambulia. Hao waandamanaji wenyewe wengi wao ni wanafunzi wa Kiarabu wanaosoma marekani. Usalama wa Israeli unawahusu Waisraeli wenyewe 🤔

Ukiangalia video zenyewe ni za maarabu tu, humo utakuta mzungu mmoja mmoja ambaye wanamuokoteza majalalani kisha wanamremba halafu aljazeera wanaitwa kuangaza video kwake muda wote ili ionekane wazungu wanaunga huo uzombi wao.
Poland imekataa kabisa kukaribisha, yaani ukitaka kuhamia Poland lazima wahoji imani yako kwanza, hawataki kuharibu amani yao.
Israel iendelee kutembeza kichapo....
 
Hadi huyu senator ni muarabu kumbe
Screenshot_20240428-113605_X.jpg
 
Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kujieleza kuliko Marekani na Ujerumani, hawa Marekani taifa la kipuuzi sana wanazitishia nchi nyingi mpaka kuzinyima misaada kupinga maandamano leo wo raia wao wanachezea virungu kuzidi hata kwetu😀. Mama Samia tunakupa miaka 10 ingine.
Cha kushangaza wakimbizi wengi wanaotoka inchi za kiarabu wanakimbilia marekan
 
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?

View attachment 2975711

View attachment 2975704

View attachment 2975690

2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na Muroto? Hawa ndugu wakimnyooshea kidole jiwe, dhidi ya migomo na maandamano? Kumbe na wao, ni wachumba tu?!

View attachment 2975699

3. Kulikoni leo Marekani kuyarudufu ya "vipigo vya mbwa koko ya kwtu na kina Muroto, dhidi ya waandamanaji wasio na hatia, wasiotaka shari na wenye kupaza sauti zao tu?

View attachment 2975687

4. Yaani ghafla kwao kumegeuka, imekuwa kama kwetu?!

View attachment 2975703

5. Ama kwa hakika "Not Yet Uhuru" (ya 1967) yaJaramogi Oginga Odinga (RIP), ilikuwa inawahusu sana Marekani leo! Kwa hakika hatukuwa tumewahi kushuhudia au kudhani demokrasia duniani ikiwa majaribuni kwa kiwango hiki!

View attachment 2975705

6. Kama hii ni Marekani kwenye ubora wake karne ya 21? si ndiyo maana Goba huko wanasema: "demokrasia ni ny*kooo!"

View attachment 2975744

7. Kumbe basi kama hivi kesho kutwa bi tozo akituzukia; hakuna mgomo au maandamano, tutakimbilia wapi?

View attachment 2975745

8. Vipi kesho Ruto naye akisema mgomo wa wauguzi, madaktari au wowote kuanzia kesho, vyote kwishney?! Tena ni kwa amri ya bwana mdogo fulani Muroto Kisumu pale na ambaye ni Ngumbaru tu?! Kumbe wakina MK254 Kenya pale yakiwakuta tena 2028 wakadai wapi server kufunguliwa?!

View attachment 2975746

9. Kwamba ati kumbe kuna makamanda uchwara huku, wakiwamo kina @moisemusajigrafii, Yoda, denoo JG na machawa wenzao wa namna hiyo nao kama manyani tu: "hivi wako kwenye kukenua meno yako nje, miti porini inapoungua!" Kumbe kesho yakiwakuta wakimbilie wapi?

View attachment 2975747

10. Kumbe hapo #9, miti itakapokuwa imekwisha yote, akatokea "ngawanga" sasa! Kamanda wa ukweli, kisiki Cha mpingo: "Lissu" kesho yakimkuta, au wao ikiwamo wale uchwara; kumbe yakiwakuta, watakimbilia wapi, kumsagia mtu kunguni?!
Huu uzi usingeleta mantiki na tija bila kutagiwa MK254,,, by the way kwao na kwetu sawa tu, hakuna cha demokrasia wala ushuzi wa haki/uhuru
 
Ukiangalia video zenyewe ni za maarabu tu, humo utakuta mzungu mmoja mmoja ambaye wanamuokoteza majalalani kisha wanamremba halafu aljazeera wanaitwa kuangaza video kwake muda wote ili ionekane wazungu wanaunga huo uzombi wao.
Poland imekataa kabisa kukaribisha, yaani ukitaka kuhamia Poland lazima wahoji imani yako kwanza, hawataki kuharibu amani yao.
Israel iendelee kutembeza kichapo....
Wewe jinga kabisa Poland nani anashida nayo wamejichokea unaonyesha ujinga wa kiwango cha juu sana maandamo ya Marekani ni ya Waarabu😀

Wewe na huyu Muafrica mwenzako hamna tofauti.

View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1784463387721679285?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Tatizo Marekani iliwaachia muingie sana kule na kuzaliana, walipaswa kuzuia kama ilivyo Poland ambapo wanaishi kwa amani.
Niliona mnadiriki kubwatuka yale madude yenu "death to America" Mkiwa ndani ya Marekani yenyewe.
Wazungu wana demokrasia ya kijinga sana, mthubutu kuyafanya China.
Na hao wanaondamana huko Israeli wamezaliwa na nani we mkunya akili Kisoda?
 
Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kujieleza kuliko Marekani na Ujerumani, hawa Marekani taifa la kipuuzi sana wanazitishia nchi nyingi mpaka kuzinyima misaada kupinga maandamano leo wo raia wao wanachezea virungu kuzidi hata kwetu😀. Mama Samia tunakupa miaka 10 ingine.
Matipo!!??
 
Kwa nini utukane?
Hao waandamanaji mbona hawakuqndamana 07/10 kupinga yale mauaji ya watu wasiokuwa na hatia?
Mbona vyuo vikuu vya ulimwengu wa kiarabu hawaandamani?
Ni hayo tuu Maalim
Hao wanaakila kule wew unaishindia mihogo na miguu ya kuku na makanda yaliyokosa virutubisho na kufanya upungukiwe akili .hiyo October 7 .haikohivyo kama mnavyohadithiwa kwenye CNN.
 
Sasa mbona unajifanya una uchungu sana kuliko hata wayahudi wenyewe? Huku Israeli kwenyewe wanaandamana ajabu wewe mgogo wa mpwapwa unapinga maandamano haujishangai🤣🤣
Huyu akiambiwa atoe tigo na jewish ili abarikiwe atatoa .ni aina ya walokole wa hovyo sana waliopo tz hapa
 
Back
Top Bottom