Marekani: Migomo kwa Palestina yasambaa kama moto wa nyika!

Israeli haiwezi iachia Rafah bila kuishambulia. Hao waandamanaji wenyewe wengi wao ni wanafunzi wa Kiarabu wanaosoma marekani. Usalama wa Israeli unawahusu Waisraeli wenyewe šŸ¤”

Ukiangalia video zenyewe ni za maarabu tu, humo utakuta mzungu mmoja mmoja ambaye wanamuokoteza majalalani kisha wanamremba halafu aljazeera wanaitwa kuangaza video kwake muda wote ili ionekane wazungu wanaunga huo uzombi wao.
Poland imekataa kabisa kukaribisha, yaani ukitaka kuhamia Poland lazima wahoji imani yako kwanza, hawataki kuharibu amani yao.
Israel iendelee kutembeza kichapo....
 
Hadi huyu senator ni muarabu kumbe
 
Cha kushangaza wakimbizi wengi wanaotoka inchi za kiarabu wanakimbilia marekan
 
Huu uzi usingeleta mantiki na tija bila kutagiwa MK254,,, by the way kwao na kwetu sawa tu, hakuna cha demokrasia wala ushuzi wa haki/uhuru
 
Wewe jinga kabisa Poland nani anashida nayo wamejichokea unaonyesha ujinga wa kiwango cha juu sana maandamo ya Marekani ni ya WaarabušŸ˜€

Wewe na huyu Muafrica mwenzako hamna tofauti.


View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1784463387721679285?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Na hao wanaondamana huko Israeli wamezaliwa na nani we mkunya akili Kisoda?
 
Matipo!!??
 
Kwa nini utukane?
Hao waandamanaji mbona hawakuqndamana 07/10 kupinga yale mauaji ya watu wasiokuwa na hatia?
Mbona vyuo vikuu vya ulimwengu wa kiarabu hawaandamani?
Ni hayo tuu Maalim
Hao wanaakila kule wew unaishindia mihogo na miguu ya kuku na makanda yaliyokosa virutubisho na kufanya upungukiwe akili .hiyo October 7 .haikohivyo kama mnavyohadithiwa kwenye CNN.
 
Sasa mbona unajifanya una uchungu sana kuliko hata wayahudi wenyewe? Huku Israeli kwenyewe wanaandamana ajabu wewe mgogo wa mpwapwa unapinga maandamano haujishangai🤣🤣
Huyu akiambiwa atoe tigo na jewish ili abarikiwe atatoa .ni aina ya walokole wa hovyo sana waliopo tz hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…