Yalishaanza kumshinda Marekani.Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya Jumapili.
Hata hivyo, haijawa wazi mara moja kama makubaliano hayo yamefikiwa rasmi.
Waziri wa Fedha, Scott Bessent, alisema wamepiga hatua kubwa katika mazungumzo hayo na taarifa kamili itatolewa kesho. Aliongeza kuwa mazungumzo yalikuwa ya mafanikio na kwamba Rais Trump amepewa taarifa kamili.
Mwakilishi wa Biashara wa Marekani, Jamieson Greer, alisema mazungumzo ya siku mbili yalikuwa ya kujenga na walikubaliana kwa haraka, jambo linaloashiria kuwa tofauti kati yao hazikuwa kubwa kama ilivyodhaniwa.
Baada ya kutangaza hali ya dharura ya kitaifa, Rais Trump alipandisha ushuru wa bidhaa kutoka China hadi 145%. Greer alihitimisha kwa kusema wana imani kuwa makubaliano hayo yatachangia kutatua hali hiyo ya dharura.
Marekani ametupa taulo.Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya Jumapili.
Hata hivyo, haijawa wazi mara moja kama makubaliano hayo yamefikiwa rasmi.
Waziri wa Fedha, Scott Bessent, alisema wamepiga hatua kubwa katika mazungumzo hayo na taarifa kamili itatolewa kesho. Aliongeza kuwa mazungumzo yalikuwa ya mafanikio na kwamba Rais Trump amepewa taarifa kamili.
Mwakilishi wa Biashara wa Marekani, Jamieson Greer, alisema mazungumzo ya siku mbili yalikuwa ya kujenga na walikubaliana kwa haraka, jambo linaloashiria kuwa tofauti kati yao hazikuwa kubwa kama ilivyodhaniwa.
Baada ya kutangaza hali ya dharura ya kitaifa, Rais Trump alipandisha ushuru wa bidhaa kutoka China hadi 145%. Greer alihitimisha kwa kusema wana imani kuwa makubaliano hayo yatachangia kutatua hali hiyo ya dharura.
Ni kubwa jinga ambalo bado linaishi kwenye ndoto za mwaka 47.Taifa kubwa kaufyata mkia,tuliwaambia Marekani ni kubwa jinga mkabisha.
Hujui unachoongea ndugu, wakati mwingine kaa kimya itakusaidia.China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Ila mwamba umejitahidi kuandika matope!China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Hujui chochote kaa kimyaChina ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Ona huyu naye🗑️🗑️China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Wapi ulishawahi kuona mmarekani anachezesha makudukudu kwenye nchi za kimatumbi kama wachina?Ni kubwa jinga ambalo bado linaishi kwenye ndoto za mwaka 47.
Na kibaya zaidi limetengmeza kizazi cha ovyo, ambacho kinadhani dunia ni Marekani.
Hayo madukuduku ni weakness na tamaa ya wanasiasa wa nchi yako tu.Wapi ulishawahi kuona mmarekani anachezesha makudukudu kwenye nchi za kimatumbi kama wachina?
Eti kakubali 115%. Weka proof hapa.Ni kweli china amebanwa achheni ubishi amekubali tarriff ya 115%. Kama yeye mwamba si angegoma na hiyo. Yaani trump kashusha toka 145 kwenda 115. Kifupi china anahitaji soko kubwa la US.
Wapo wachina wanaozamia marekani ,je wapo wamarekani wanaozamia China? Kama hapana jiulize kwa nini🤔Hayo madukuduku ni weakness na tamaa ya wanasiasa wa nchi yako tu.
Mnatafuta wawekezaji ambao hamjui mnataka wawekezaji wa aina gani.
Wapo.Wapo wachina wanaozamia marekani ,je wapo wamarekani wanaozamia China? Kama hapana jiulize kwa nini🤔