min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ni hawa limbukeni wanalinganisha us na China budaMbona umenivamia mkuu shida nini ishu ya USA na pesa za SA zinaingiliana vip.
Ni hawa limbukeni wanalinganisha us na China budaMbona umenivamia mkuu shida nini ishu ya USA na pesa za SA zinaingiliana vip.
Nimdipenda hii kuna wazayuni waliomzunguka trump wanadai bado usa is number one they are living in bable economyKwa China marekani walibugia kiazi cha moto sema wamejitahidi kukitema mapema
Nilienda kibiashara lnikaona nafasi na kusoma zaidi ta Tz ila nikapiga bingo la Us niache vipi budaKwa hiyo haukwenda kibiashara kama ulivyosema?
Ulifeli pakubwa mkuuNilienda kibiashara lnikaona nafasi na kusoma zaidi ta Tz ila nikapiga bingo la Us niache vipi buda
China hakuna pesaUlifeli pakubwa mkuu
China hakuna pesa
Buda mimi naishi Arusha hapa nikija ni kubeba mizigo ingawaje nina makazi ya kudumu hapa na pia hapa hela ipo usipachukulie poa kabisaa..Ni hawa limbukeni wanalinganisha us na China buda
Athari za kiuchumi, wewe u auliza athari gani!?Athari gani ?
China zipo bidhaa sio pesa wadogo wengi walioenda kusoma bidhaa ndio zimewatoa..China hakuna pesa
Marekani ametupa taulo.
Hana jipya.
Ego nyiiiingi wakati zero kabisa
Sawa Ila hii Kiki aliitengeneza maksudi nadhani kumrudisha china nyuma kidogo mfano wakati soko la hisa la Marekani linaripotiwa kushuka trump alitusanua "Kama kuna MDA WA kununua Hisa kwa bei chee Ndio sasa,maana hii bahati haitojirudia" MDA uo mara anunue macrypto, yaani alikuwa anajitanua ...Mchina hata afanyeje anajua Dollar ya USA ni muhimu kwa sasa lazima anyenyekeee Hapo akipanga mashambuliziAnaelewa kiasi gani soko la Marekani lilivyo muhimu kwa mataifa husika.
Pia haiwachukiiSawa mkuu ila nadhani tumeelewana.
Hiyo haitoshi kusema Marekani wanawapenda waislam.
Unajua maana ya hizo ziara!?Huyu huyu China ambaye baada ya hizi tarrifs, JinPing akaanza ziara za ushawishi kwa Malaysia, Vietnam na Cambodia!? Au kuna China mwingine!?
Duh aisee!Hiyo ni vita yao wenyewe ya madhehebu, kwa hiyo wenye akili wanaitumia kwa faida yao. Ushia na Usuni. Vita ya Panzi, kinguru lazima afaidike.
Inawachukia.Pia haiwachukii
Wanapenda hela yao ya mafuta ndio maana safari za viongozi haziishi napo Saudia,Qatar etc. Trump yuko huko na amepewa gift ya ndege na Qatar 😁Pia haiwachukii