Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Marekani na China zafikia makubaliano ya kibiashara baada ya mvutano wa muda mrefu

Unafikiri China inaendeshwa kama nchi yako Tanganyika kwamba wanaendeshwa tu na mihemko.

Ziara za Vietnam,Malaysia,Cambodia,Russia zimetangazwa kabla hata ya upuuzi wa Trump
Tafuta mwingine wa kummezesha hizi porojo, hizo zilikuwa ziara za kutengeneza mazingira ya kupunguza athari za Kibiashara kwenye uchumi wa China. Hakuna kingine.
 
Tafuta mwingine wa kummezesha hizi porojo, hizo zilikuwa ziara za kutengeneza mazingira ya kupunguza athari za Kibiashara kwenye uchumi wa China. Hakuna kingine.
Athari gani ?
 
China ka-surrender kama alivyo-surrender Ukraine,Huezi mtunishia USA wakati unawahitaji wao kwa uchumi wako,ingekua ajabu China wakategemea kina sisi wanunua midosho kwa cheap wakawaacha nchi zenye uwezo mkubwa,mtu unanunua contena zima la bidhaa za 30million na unasafirisha wakati USA ikitoka contena toka China ni 200Million over.
China hana ubavu,hata Kwa Taiwan alibwekabweka na hakufanya kitu,wale ni mandonga tu
Aliye surrender ni US. Mchina alisema kama wanataka mazungumzo kwanza waondoa ushuru wote waliloongeza April 2nd na ndicho kimefanyika... kabla ya hapo marekani alikuwa kaongeza ushuru kwa 30% kwa mchhina, na mchina alikuwa kaongeza 10% kwa mmarekani. So huo umebaki umeondolewa wa kuanzia april second kama alivyo demand mchina. Na mazungumzo bado yanaendelea katika kipindi cha siku 90.
Sasa unasemaje kasurrender wakati wametekeleza demand zake?
Mchina si wa mchezo mchezo.
 
We jamaa umewahi fika USA? watanzania kwanini mnaishi maisha ya kukalili.

kwenye hii dunia kuna nchi inafursa nyingi za kupiga pesa kama USA?
Yaani unakataa hiyo picha kuwa sio Marekani?

Marekani fursa iko kwa matajiri wachache na ndio ambao wameshika asilimia 80% ya uchumi wa Marekani
 
Chukua 145% toa 115%, Chukua 125% toa 115%.
Ok boss, Mchina kapeleka hadi 10 na USA kabaki 30. Bila kuzingatia uzalendo uchwara wa USA au China, tumejifunza nini kwenye hii cease fire ya 90 days?
 
Ok boss, Mchina kapeleka hadi 10 na USA kabaki 30. Bila kuzingatia uzalendo uchwara wa USA au China, tumejifunza nini kwenye hii cease fire ya 90 days?
Uongozi hauhitaji mihemko na kutaka sifa za kutrend kwenye social media
 
Back
Top Bottom